Mkurugenzi Mkuu

Ahsante kwa kutumia muda wako kutembelea na kuperuzi Tovuti ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Katika Tovuti hii utapata habari mpya zinazohusu NIDA, kalenda ya matukio, miongozo, kanuni, matangazo ya zabuni, mahali zilipo ofisi zetu kila wilaya na kufahamu huduma tunazotoa.

Habari Mpya

Mafanikio ya NIDA Katika Miaka 3 ya Srikali ya Awa...

Na: Mwandishi wetu – NIDA Unapozungumzia suala la Usajili na Utambuzi wa Watu Nchini bila shaka utakuwa pia unaizungumzia Taasisi…

  March 19, 2024 at 7:51 am

Kamati ya Bunge Yafurahishwa na Kazi Nzuri Inayofa...

Na: Mwandishi wetu – NIDA Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imepongezwa kwa juhudi kubwa iliyofanya ya kuchapisha Vitambulisho vingi…

  March 14, 2024 at 6:45 pm

Wanawake Waaswa Kufanya Kazi kwa Ustadi na Uhodari

Na: Agnes Gerald – NIDA Wanawake wa mkoa wa Dar es Salaam wameaswa kufanya kazi kwa ustadi na uhodari mkubwa…

  March 8, 2024 at 2:37 pm

NIDA Yafanya Kikao cha Baraza la Wafanyakazi ̵...

Na, Hadija Maloya – NIDA Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa imehitimisha Kikao cha 25 cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika Januari…

  January 22, 2024 at 2:21 pm