emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa

Jisajili, Tukutambue, Tukutambulishe
Image
Image
Image

Majukumu
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa inatimiza majukumu yake kwa mujibu wa Hati ya Uanzishwaji wa Mamlaka ya mwaka 2008 (Establishment Instrument, 2008 - GN 122/2008). Majukumu ya msingi ya Mamlaka yaliyoainishwa katika Sheria ya kuanzishwa kwake ni kama ifuatavyo:

Kusajili na kutambua watu wanaoishi nchini

Kutunza daftari la Taifa la Usajili na Utambuzi wa watu na kushirikisha taarifa hizo na wadau wengine.

Kutoa Vitambulisho vya Taifa kwa raia, wageni waakazi na wakimbizi wenye umri wa miaka 18 na kuendelea.

Kujenga utawala bora wa Mamlaka.

Kujenga Mfumo Mkuu wa Taifa wa Utambuzi wa Watu na kushirikisha taarifa za Utambuzi kwa taasisi za serikali na sekta binafsi.