Muundo wa Taasisi
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa inaundwa na Bodi ya Wakurugenzi, Mkurugenzi Mkuu na Menejimenti inayohusisha Mkurugenzi Mratibu wa ofisi ya NIDA, Zanzibar, Wakuu wa Idara tano (5) na wasimamizi (Mameneja) wa sehemu (sections) mbalimbali kumi (16) wanaowasaidia kusimamia sehemu hizo pamoja na Wakuu wa Vitengo watano (5)