emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa

Jisajili, Tukutambue, Tukutambulishe

Fahamu Huduma Zetu

Usajili wa Raia wa Tanzania

Zipo njia mbili za kuweza kutumiwa na Mwombaji Kujisajili:-
1) Usajili kwa njia ya Mtandao.
2) Usajili kwa njia ya kawaida.

Usajili wa Mgeni Mkaazi

Wageni Wakaazi wenye umri wa miaka 18 na zaidi wanaoishi nchini Tanzania kulingana na hati ya ukaazi wanaarifiwa kujitokeza Kusajiliwa kwa mujibu wa sheria ya Usajili na Utambuzi wa watu kwenye ofisi ya

Usajili wa Diaspora

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa imefanikiwa kuanza utaratibu wa kusajili Watanzania wanaoishi nje ya nchi ambapo kwa kuanzia Mamlaka iliendesha zoezi la Usajili wa Diaspora waishio Marekani

Matumizi ya Kitambulisho cha Taifa

unaweza kutumia Namba yako ya Utambulisho wa Taifa (NIN)/Kitambulisho cha Taifa (NID) kupata huduma nyingi za kijamii, kiuchumi na kiusalama katika maeneo mbalimbali:-

Marekebisho ya Taarifa za Usajili

Mambo ya msingi ambayo mwananchi anapaswa kuyazingatia ili aweze kurekebishiwa taarifa za usajili kama:
1. Majina 2. Tarehe na mwezi wa kuzaliwa

Jinsi ya Kuhuisha Kitambulisho cha Taifa

Kuna hatua mbalimbali zinazotakiwa kufuatwa na mwombaji aliyepoteza Kitambulisho cha Taifa ili kupatiwa kingine na kuna gharama kidogo mwombaji atatakiwa kuchangia:-

Barua Pepe

info@nida.go.tz


0232210500

Jumatatu - Ijumaa

01:30 asubuhi - 09:30 alasiri

Huduma Mtandao

Jisajili Kimtandao

Fanya usajili wa awali kwa njia ya mtandaoni ili kuokoa muda.Huduma hii ni kwa ajili ya Raia na Mgeni Mkaazi.

Fahamu NIN

Huduma hii inakuwezasha kufahamu namba yako ya utambulisho wa Taifa(NIN) kwa kujaza fomu fupi ya taarifa zako na kuwasilisha..

Fuatilia Ombi

Huduma hii inamuwezesha muombaji wa Kitambulisho cha Taifa kujua hali ya maombi yake.Pia kupata taarifa iwapo kuna hatua zozote za kufuata kwa maombi yaliyokwama.

Malipo Kimtandao

Huduma hii inakuwezesha kujihudumia kwa kutengeneza kumbukumbu namba ya malipo ya serikali kwa huduma ya waliopoteza kitambulisho na kwa maombi ya usajili kwa wageni wakaazi.

Huduma kwa Wadau

Huduma hii ni mahususi kwa wadau wetu kwa ajili ya kufanya uhakiki wa wateja wao na kuhakiki miamala.

Mdau Mpya

Huduma hii inakuwezesha kujisajili kuwa mdau wa NIDA ili upate huduma za ushirikishanaji taarifa.

Habari Mpya

Serikali Yafuta Ukomo wa Matumizi ya Kitambulisho cha Taifa

 2024-11-13

Na: Mwandishi wetu – NIDA.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema Vitambulisho vya Taifa havitakuwa na muda ukomo wa matumizi....

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Yaahidi Ushirikiano kwa NIDA

 2024-11-13

Na: Agnes Gerald – NIDA.Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, imeahidi kutoa ushirikiano kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili iweze kutekeleza vema majukumu yake ya Usajili na Uta...

Vijana Wahimizwa Kujisajili Kimtandao ili Kuepuka Adha ya Foleni Kwenye Ofisi za Usajili

 2024-11-13

Na: Agnes Gerald – NIDA.Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA inaendelea kuwahimiza Vijana wanaofikisha miaka 18 na makundi mengine pia Kujisajili Kimtandao kupitia https://eonline.nida.go....

Rais Samia: Tutumie Namba Moja Tu ya Mtanzania

 2024-11-13

Na: Calvin Minja – NIDA.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Kassim kwa kushirikiana na Wizara kuhak...

Mafanikio ya NIDA Katika Miaka 3 ya Srikali ya Awamu ya Sita

 2024-11-13

Na: Mwandishi wetu – NIDA.Unapozungumzia suala la Usajili na Utambuzi wa Watu Nchini bila shaka utakuwa pia unaizungumzia Taasisi ya Mamalaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) iliyo chini ya ...

Video

Peter Msechu - Wimbo maalum wa NIDA
Namna NIDA inavyoshirikiana na wadau wengine | TTCL | TRA

Bango

×

Wadau Wetu