Registration Requirements to Legal Residents.
Comments on “Registration Requirements to Legal Residents.”
Leave a Reply to Geofrey Tengeneza Cancel reply
Taarifa Kwa Umma
22 April
2024
2024
19 April
2024
2024
14 April
2024
2024
Herufi ya moja la jina langu la katikati limekosewa ambalo ni NHANGALA linatakiwa kuwa MHANGALA namba yangu ya NIDA ni 19971201355340000129
Salaam Ndg. Tafadhali fika kwenye ofisi ya Usajili kwa msaada zaidi. Huduma ya kuboresha taarifa za mwombaji hufanyika ofisini na si kwa njia ya mtandao kwani mteja anahitajika kwa mahojiano zaidi na uhakiki wa nyaraka kujiridhisha juu ya ombi hilo.
Muhimu:- ombi la mteja linaweza kuafikiwa ama lah kutegemea na sababu na nia ya mteja kutaka kufanya maboresho ya taarifa zake,
Kabla ya kufanya malipo ya huduma na utekelezaji wa hatua yoyote, unashauriwa kufika ofisini kwanza kupatiwa kibali cha kuendelea na malipo.
Shukrani.