Mkurugenzi Mkuu

Ahsante kwa kutumia muda wako kutembelea na kuperuzi Tovuti ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Katika Tovuti hii utapata habari mpya zinazohusu NIDA, kalenda ya matukio, miongozo, kanuni, matangazo ya zabuni, mahali zilipo ofisi zetu kila wilaya na kufahamu huduma tunazotoa.

Habari Mpya

Miaka 60 ya Muungano NIDA

Yawa Ufunguo wa Maendeleo Nchini Na: Agnes Gerald – NIDA Miaka 60 ya Muungano NIDA Yawa Ufunguo wa Maendeleo Nchini…

  April 22, 2024 at 7:41 am

NIDA Yatoa Elimu ya Usajili Maonesho ya Muungano

Na: Agnes Gerald – NIDA Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetoa elimu kuhusu Usajili na Utambuzi wa Watu kwa…

  April 19, 2024 at 2:38 pm

Nida Yatunukiwa Cheti kwa Kujisajili Tume ya Usaji...

Na: Agnes Gerald – NIDA Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetunukiwa Cheti kwa kuwa Taasisi ya kwanza ya umma…

  April 3, 2024 at 3:29 pm

NIDA Yahimiza Wananchi Kuchukua Vitambulisho 

Na. Calvin Minja Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewataka wananchi ambao wamejisajili kujitokeza kuchukua vitambulisho vyao ili waweze kuvitumia…

  March 27, 2024 at 10:54 am

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu