Miaka 60 ya Muungano NIDA


Yawa Ufunguo wa Maendeleo Nchini Na: Agnes Gerald – NIDA Miaka 60 ya Muungano NIDA Yawa Ufunguo wa Maendeleo Nchini Na: Agnes Gerald – NIDA Suala la kutambua watu kielektroniki katika dunia ya leo haliepukiki kutokana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia yanayoshika kasi na kuifanya dunia kuwa kama kijiji. Jambo hili linaleta ulazima kwa…

More

NIDA Yatoa Elimu ya Usajili Maonesho ya Muungano


Na: Agnes Gerald – NIDA Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetoa elimu kuhusu Usajili na Utambuzi wa Watu kwa wananchi waliotembelea banda la NIDA kwenye  Maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano. Akielezea ushiriki wa NIDA katika maonesho hayo yanayofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, Afisa Habari Mkuu, wa NIDA,…

More

NIDA Yashiriki Muungano Zanzibar


Na Calvin Minja Kuelekea miaka 60 ya Muungano  wa Tanzania Bara na Zanzibar, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imeshiriki halfa  ya uzinduzi  wa  maadhimisho hayo yenye kaulimbiu “Tumeshikamana na Tumeimarika kwa Maendeleo ya Taifa” uliofanyika Nyamanzi, Zanzibar. Halfa hiyo imezinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi…

More

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu