Kamati ya Bunge Yafurahishwa na Kazi Nzuri Inayofanywa na Nida


Na: Agnes Gerald – NIDA Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imepongezwa kwa juhudi kubwa iliyofanya ya kuchapisha Vitambulisho vingi vya Taifa na kuvisambaza kwa wananchi na hivyo kumaliza kero sugu ya upatikanaji wa Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi…

More

Wanawake Waaswa Kufanya Kazi kwa Ustadi na Uhodari


Na: Agnes Gerald – NIDA Wanawake wa mkoa wa Dar es Salaam wameaswa kufanya kazi kwa ustadi na uhodari mkubwa na kuacha kukata tamaa katika shughuli mbalimbali wanazozifanya ili kuwa chachu ya maendeleo kwa familia na taifa. Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila katika Maadhimisho ya Siku ya…

More

NIDA Yafanya Kikao cha Baraza la Wafanyakazi – Dodoma


Na, Hadija Maloya – NIDA Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa imehitimisha Kikao cha 25 cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika Januari 22, 2024 Jijini Dodoma kwa ajili ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya mwaka 2023/2024 pamoja na kupitisha Mpango wa Bajeti kwa mwaka 2024/2025. Aidha, Baraza limepitisha vipaumbele sita (6) ambavyo ni Usajili na…

More

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu