Maelfu Wapewa Elimu ya Usajili na Utambuzi Nanenane


Na Thomas Nyakabengwe, NIDA Maelfu ya wakazi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini wamepewa elimu kuhusu Utambuzi na Usajili katika Maonesho ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi (Nanenane) yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya. Elimu hiyo imetolewa na maofisa wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) wanaoshiriki kwenye maonesho hayo yaliyoanza Agositi Mosi,…

More

NIDA YAWATAKA WENYE VITAMBULISHO VILIVYOFUTIKA KUVIREJESHA


MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewataka wananchi wote ambao vitambulisho vyao vimepata hitilafu ya kufutika maandishi kuvirejesha katika ofisi za NIDA ama katika ofisi za Serikali za Mitaa, Kata, Vijiji na Shehia ambako vitakusanywa na kurejeshwa kwa ajili ya kuchapishwa upya bila malipo yeyote kwa mwananchi. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es…

More

NIDA Yapongezwa kwa Kuzalisha Vitambulisho 99%


Na: Thomas W. Nyakabengwe – NIDA Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu ameipongeza Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kuzalisha asilimia 99 ya Vitambulisho kwa watu wenye Namba za Utambulisho wa Taifa (NIN). Pongezi hizo zimetolewa Juni 21, 2024 alipotembelea mabanda ya maonesho ya taasisi za Wizara ya…

More

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu