Kongamano la Ufuatiliaji na Tathmini


NIDA Yapongezwa kwa Kurahisisha Utambuzi wa Wateja Kimtandao Na: Agnes Gerald – NIDA Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imepongezwa kwa kuziwezesha taasisi za Serikali na binafsi kutambua wateja wao kirahisi na kupatiwa huduma za kijamii na kiuchumi. Pongezi hizo zimetolewa na wananchi na washiriki wa Maonesho ya Kongamano la Tatu la Ufuatiliaji na Tathmini…

More

Audit Report 2022/2023


NIDA Yatunukiwa Cheti cha Mshindi wa Kwanza e-Mrejesho


Na. Hadija Maloya-Moshi Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), imetunukiwa cheti cha ushindi wa kwanza kati ya Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika kushughulikia malalamiko ya wananchi kwenye Mfumo wa e-Mrejesho. Cheti hicho kimetolewa na Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni (Mb), Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, wakati…

More

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu