Ni Jukumu la NIDA Kufanya Mifumo Isomane
Na: Thomas Nyakabengwe – NIDA Ukiuliza NIDA ni nini? watu wengi aghalabu wote kwa Tanzania watajibu kwamba ni Taasisi inayotoa Vitambulisho vya Taifa. Ni kweli pasi na shaka kwamba Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ndicho chombo chenye wajibu wa kutoa huduma za utambuzi zinazotambulika kitaifa na kimataifa na kutoa Vitambulisho kwa Watanzania na Wageni…
MoreNIDA Yazindua Namba Mpya ya Huduma kwa Mteja
Na: Musa Kadiko – NIDA Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imeendelea kuboresha huduma kwa wananchi kwa kuboresha Kituo chake cha Huduma kwa Mteja ambapo imeweka mifumo mipya, vifaa vya kisasa na namba mpya ya huduma kwa mteja. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Hifadhi Hati, Geofrey Tengeneza wakati wa mkutano na…
MoreNamba ya NIDA ndio Utambulisho Wa kipekee wa Watanzania Kijamii, Uchumi
Na: Thomas Nyakabengwe – NIDA WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Namba ya Kipekee itakayomtambulisha kila raia nchini na kumwezesha kupata huduma mbalimbali za kijamii na kiuchumi kutoka serikalini na sekta binafsi ni Namba ya NIDA. Waziri Mkuu alitoa maelekezo hayo wakati wa kufunga Kongamano la Nane la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) lililofanyika katika…
MoreTaarifa Kwa Umma
2024
2024
2024
Tufuatilie