Usajili Vitambulisho vya Taifa karatu watia fora, zaidi ya wananchi 1200 kusajiliwa kwa siku


Si kwa idadi hii ya watu iliyofurika katika Wilaya ya Karatu Kata ya Rhotia ambako Usajili wa Wananchi Vitambulisho vya Taifa unaendelea. Kwa mujibu wa Afisa Usajili Wilaya ya Karatu Bi. Rehema Ngomuo takribani wananchi 1200 wamekuwa wakisajiliwa kwa siku na wengine kushindwa kuwasajili na kulazimika kurejea makwao tayari kwa siku inayofuata bila manung’uniko wala…

More

Usajili Vitambulisho vya Taifa waendelea mkoa wa Geita


Wananchi wa Halmashauri ya mji Geita, mkoani Geita wameendelea kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la usajili na utambuzi linaloendeshwa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa. Zoezi hili ambalo kwa sasa linaendelea mikoa yote ya Kanda ya Ziwa na Kaskazini limekuwa ni fursa nzuri na muhimu kwa wananchi  kusajiliwa na kuwezeshwa kushiriki katika shughuli za…

More

Usajili wapamba moto Arusha; Wananchi wahamasika kujisajili


Katika hali isiyokuwa ya kawaida wananchi wa mkoa wa Arusha wamefurika kwenye vituo vya Usajili kujisajili Vitambulisho vya Taifa, zoezi ambalo limeanza tangu ijumaa wiki iliyopita. Wakazi hao wameonyesha furaha, tofauti na matarajio ya wengi ya uchovu na manung’uniko ya kukaa foleni kwa muda mrefu. Cha kufurahisha zaidi ni utaratibu waliojiwekea wenyewe wa kujipanga foleni…

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu