Kitengo cha Ununuzi na Ugavi kina idadi ya watumishi watatu.
Majukumu ya Kitengo:
- Ununuzi wa vifaa na huduma kwenye Idara na Vitengo vyote vya Mamlaka.
- Utunzaji na Ugavi wa vifaa vya Mamlaka.
- Kutoa ushauri kuhusiana na masuala yote yanayohusu ununuzi kwa Mamlaka.
Mafanikio:
- Kitengo kumeweza kusimamia vizuri taratibu za ununuzi na kupewa barua ya pongezi kutoka Mamlaka ya
- Usimamizi wa Ununuzi nchini (PPRA)
- Kitengo kinaendelea na msisitizo wa kufuata kanuni na taratibu wa ununuzi wa umma kwa watumishi wa Mamlaka ambao kwa kiasi kikubwa umeonyesha mafanikio.
Tufuatilie