Ufafanuzi kuhusu malipo ya watumishi 597 waliokuwa wameajiriwa na mikataba yao kusitishwa
Taarifa ya ufafanuzi kuhusu hatua tuliyofikia kuhusiana na malipo ya watumishi 597 waliokuwa wameajiriwa kwa masharti ya mkataba na mikataba yao kusitishwa tangu mwezi machi mwaka huu. Soma zaidi hapa chini… TAARIFA UMMA-1 TAARIFA UMMA-2
MoreMamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA) yafanya usajili wa vitambulisho vya Taifa kwa Waheshimiwa wa Wabunge
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA), imeanza kusajili Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; wakati wakiendelea na kikao cha Bajeti Katika Usajili huo NIDA inategemea kusajili wabunge wote ambao hawakuwahi kusajiliwa awali na kupata vitambulisho vya Taifa, pamoja na kugawa vitambulisho Wabunge wameonyesha mwamko mkubwa katika kutumia fursa hii adhimu, kwa kuhakikisha…
MoreKongamano la wadau kutoka sekta mbalimbali wakijadili kuhusu mradi wa Vitambulisho vya Taifa
Wadau kutoka Sekta mbalimbali nchini leo wamekutana katika kongamano maalumu kujadili suala la Vitambulisho vya Taifa na uwezekano wa kukamilika kwa mradi huo ili kuwezesha Taifa kuwa na Kanzidata(database) yenye taarifa sahihi zenye kujibu maswali makuu nani ni nani, yuko wapi na anafanya nini. Lengo ni kurahisisha utoaji huduma na kuwezesha wananchi kujishughulisha na masuala…
MoreTaarifa Kwa Umma
2024
2024
2024
Tufuatilie