Important notice for our Stakeholders


Please see the documents below Form No 1- Data Shsring or Access form for CIG services Form No 2 – Technical certified form Form no 4 – Portal Stakeholder Registration Form SDI-CONTENTS  

More

Vitambulisho vya Taifa lulu kwa wananchi wa Kwimba


Wananchi wa Wilayani ya Kwimba wamejitokeza kusajiliwa Vitambulisho vya Taifa wakati zoezi hilo likiendelea. Mpaka sasa idadi kubwa ya wananchi wa Kwimba wameshasajiliwa huku mwitikio wa wananchi ukiongezeka na kuonyesha ni kiu ya wananchi katika kupata Vitambulisho cha Taifa. Afisa Usajili Wilaya ya Kwimba Ndg Nelson Liyenge amewakumbusha wananchi kujitokeza kwa wingi ili wasajiliwe kwa…

More

Usajili washika kasi mkoa wa Arusha, waandishi kutoka vyombo vya habari watembelea vituo vya Usajili


Baadhi ya waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya Habari zikiwemo Televisheni na Magazeti Jana walitembelea vituo vya Usajili mkoa wa Arusha kuona hatua za usajili na mwitikio wa wananchi katika kupata haki yao msingi ya kikatiba ya kusajiliwa. Wananchi wa Mkoa wa Arusha wameendelea kujitokeza kwa wingi kujisajili Vitambulisho vya Taifa; huku idadi ya…

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu