Wananchi mkoani Simiyu watakiwa kujitokeza kusajiliwa Vitambulisho vya Taifa


Wananchi wa Mkoa wa Simiyu wametakiwa kujitokeza kwa wingi kusajiliwa  Vitambulisho vya Taifa (NIDA) wakati zoezi hilo likiendelea kwenye Kata mbalimbali za Mkoa huo. Wito huo umetolewa na Katibu Tawala wa mkao huo Ndg. Rutaihnwa Albert alipotembelea baadhi ya vituo kukagua maendeleo ya zoezi hilo huku akiwataka Watendaji Kata pamoja na wasimamizi kuweka utaratibu mzuri…

More

Wananchi mkoani Simiyu watakiwa kujitokeza kusajiliwa Vitambulisho vya Taifa


Wananchi wote wa Mkoa wa Simiyu wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika zoezi la uandikishaji Vitambulisho vya taifa (NIDA) linaloendelea mkaoni humo. Wito huo umetolewa na Afisa Tawala Wilaya ya Bariadi ndg. Rutaihnwa Albert ambaye pia amewataka watendaji wa Kata pamoja na wasimamizi kuweka utaratibu mzuri wa wananchi Kusajiliwa pindi wanapofika kwenye vituo vya Usajili. Aidha…

More

Mtwara Kuchele…. Uzinduzi Vitambulisho Vya Taifa wafanyika sasa ni kazi tuuu


Mkuu wa Mkoa wa Mtwara; leo amezindua rasmi zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu kwa wananchi wa mkoa huo tayari kuanza rasmi kwa zoezi la usajili kwa wananchi ikihusisha kuchukuliwa picha, saini na alama za Kibaiolojia. Akizungumza katika uzinduzi huo Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Evod Mmanda kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa…

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu