NIDA Yashinda Makombe Matatu (3) Kwa Mpigo Maonesho ya Biashara ya Afrika Mashariki ya Mwanza


Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imezidi kungara kwa kupata tuzo 3 za ushindi kwenye Maonesho ya 14 ya Biashara ya Afrika Mashariki (East Africa Trade Fair) yaliyofanyika mkoani Mwanza.  NIDA imeibuka mshindi wa kwanza kati ya taasisi za Serikali na Mwonyeshaji Bora (Best Exhibitor) kati ya washiriki zaidi ya 300 kwenye Maonesho ya Biashara…

More

Maboresho ya Namba za Call Center NIDA


NIDA Yawezesha Wakulima, Wavuvi na Wafugaji Kutambuliwa Kwenye Maonesho ya Nanenane


Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), yashiriki maonesho ya 27 ya wakulima, wavuvi na wafugaji yanayoadhimishwa kitaifa katika viwanja vya Nyakabindi, wilayani Bariadi mkoani Simiyu. Maonesho hayo yenye kauli mbiu ‘Kilimo, Mifugo na Uvuvi kwa Ukuaji wa Uchumi wa Nchi’ yamelenga kutoa fursa kwa taasisi mbalimbali nchini za serikali na binafsi kutoa elimu hasa ya…

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu