Kuanza kwa malipo ya waliokuwa watumishi wa masharti ya mkataba.


Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), inawatangazia waliokuwa watumishi wa masharti ya mkataba ambao mikataba yao ilisitishwa tangu tarehe 07 Machi 20L6, kwamba ofisi itaanza kufanya malipo ya madai yao kuanzia Jumatano tarehe 15 hadi Ijumaa 17 Juni 20L6. Aiona maiipo yatafanyika kuanzia saa 3:00 asubuhi kwenye ofisi za NIDA jengo la BMTL na ofisi…

More

Ufafanuzi kuhusu malipo ya watumishi 597 waliokuwa wameajiriwa na mikataba yao kusitishwa


Taarifa ya ufafanuzi kuhusu hatua tuliyofikia kuhusiana na malipo ya watumishi 597 waliokuwa wameajiriwa kwa masharti ya mkataba na mikataba yao kusitishwa tangu mwezi machi mwaka huu. Soma zaidi hapa chini… TAARIFA UMMA-1 TAARIFA UMMA-2

More

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA) yafanya usajili wa vitambulisho vya Taifa kwa Waheshimiwa wa Wabunge


Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA), imeanza kusajili Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; wakati wakiendelea na kikao cha Bajeti Katika Usajili huo NIDA inategemea kusajili wabunge wote ambao hawakuwahi kusajiliwa awali na kupata vitambulisho vya Taifa, pamoja na kugawa vitambulisho Wabunge wameonyesha mwamko mkubwa katika kutumia fursa hii adhimu, kwa kuhakikisha…

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu