General Procurement Notice, financial year 2016/2017


2016-2017 GENERAL PROCUREMENT NOTICE  

More

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), inapenda kuwatangazia na kuwakaribisha wananchi wote kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Kibiashara (40)


Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), inapenda kuwatangazia na kuwakaribisha wananchi wote kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Kibiashara (40), SABASABA. Banda letu liko kwenye Banda maarufu “JAKAYA TENTS”. Tutembelee kupata huduma zifuatazo:- Usajili wa Awali, utakaohusisha uchukuaji wa alama za kibailolojia, picha na Saini ya Kielektroniki Fahamu muonekano mpya wa Vitambulisho vya Taifa vyenye saini…

More

Usajili wananchi vitambulisho vya Taifa kukamilika nchi nzima Desemba 31 mwaka huu


Serikali imekusudia kukamilisha Usajili Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi wote kufikia Desemba 31 mwaka huu. Akuzungumza na vyombo vya habari leo, msemaji wa Mamlaka ya Vitambulisho Bi. Rose Mdami, Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Hifadhi Hati amesema NIDA imepanga kutumia taarifa za NEC kukamilimisha usajili wa awali na kutoa namba ya Utambulisho kwa…

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu