Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji atembelea Banda la maonyesho la Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Nanenane – Lindi


Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mh. Eng. Isack Aloyce Kamwelwe (MB), ametembelea banda la Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwenye Maonyesho ya 23 ya Nanenane yanayofanyika mkoani Lindi katika viwanja vya Ngongo. Amepongeza jitihada kubwa za Serikali kuanzisha mfumo wa Taifa wa Utambuzi na Usajili wa Watu, kwani faida za mfumo huo ni…

More

NIDA kuanza kutoa namba za utambulisho kwa wananchi waliosajiliwa na NEC


Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), iko mbioni kuanza kutoa namba za Utambulisho kwa wananchi waliosajiliwa na NEC. Awali NIDA ilitangaza kufikia Desemba 31, 2016 kuwa imetoa namba za Utambulisho kwa wananchi wote waliosajiliwa kwenye Daftari la Wapiga Kura NEC. hatua hii itawezesha wananchi kuanza kufaidi utambulisho wao kwa kupata baadhi ya huduma wakati wakiendelea…

More

Nida kushiriki maonesho ya 23 ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane yanayotarajiwa kufanyika Mkoani Lindi kuanzia tarehe 01/08/2016 hadi tarehe 10/08/2016


Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), kushiriki Maadhimisho ya Maonyesho ya 23 ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane yanayotarajiwa kufanyika Mkoani Lindi kuanzia tarehe 01/08/2016 hadi tarehe 10/08/2016 ili kutumia fursa ya maonyesho hayo kutoa elimu kwa umma juu ya mchango mkubwa NIDA ilionao katika maendeleo ya sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi. Kauli mbiu ya…

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu