Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa: Tangazo la ajira ya Muda (Temporay Employment)


TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MUDA.

More

Wanafunzi Dar es salaam wahamasika na vitambulisho vya Taifa


Kufuatia ziara ya kimafunzo iliyofanywa na wanafunzi wa Sekondari ya Christ The King NIDA hivi karibuni, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA imepambanua mchango mkubwa iliyonao katika kuleta maendeleo kwa taifa Kijamii, Kiuchumi, kisiasa na Kiulinzi na Usalama. Akiongea wakati wa kutoa mafunzo mafupi yaliyotolewa wakati wa ziara hiyo iliyolenga kujua Mchango Vitambulisho vya Taifa…

More

Vitambulisho vya Taifa chachu ya maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi


Maonyesho ya 23 ya Wakulima Nanenane yanafanyika kitaifa mkoani Lindi, ambapo Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inashiriki kwa mara ya kwanza kuungana na Wakulima kwa kuendesha zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu kwa wananchi ambao hawakusajiliwa awali, kuchukua alama za kibaiolojia (picha, alama za vidole na saini ya kielektroniki), matumizi ya Tovuti Salama…

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu