Wabunge wafurahishwa na kasi ya NIDAkatika utoaji vitambulisho vya Taifa.


Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo wamekuwa miongoni mwa wananchi walioanza kuchukua Vitambulisho vipya vya Taifa vyenye saini; kufuatia utaratibu uliotangazwa hivi karibuni na Nida wa kuanza kugawa vitambulisho vipya kwa makundi mbalimbali waliokamilisha taratibu za usajili. Shughuli ya kugawa Vitambulisho vya Taifa kwa Waheshimiwa Wabunge imeanza rasmi leo bungeni; pamoja…

More

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuanza kutoa Vitambulisho vipya vya Taifa vyenye saini kwa wananchi wote waliokamilisha taratibu za usajili.


Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) itaanza kutoa Vitambulisho vipya vya Taifa vyenye saini kwa wananchi wote waliokamilisha taratibu za usajili na utambuzi na kuchukuliwa alama za kibaiolojia (Alama za vidole, Picha, Saini ya Kielektroniki). Kwa mujibu wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NIDA Bw. Andrew Massawe; utekelezaji wa zoezi hilo utaanza rasmi Jumatano tarehe 14…

More

Makabidhiano ya ofisi Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa – NIDA


Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa na ambaye sasa ni Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dr. Modestus Kipilimba leo amekabidhi rasmi ofisi kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu mpya Bw. Andrew Wilson Massawe; aliyeteuliwa hivi karibu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu NIDA Katika…

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu