Serikali yatoa tamko kwa watumishi wa Umma kujitokeza kusajiliwa Vitambulisho vya Taifa kabla ya oktoba 31, 2016


Serikali imewataka watumishi wote nchini walioajiriwa na Serikali, yakiwemo mashirika ya Dini na Taasisi  nyingine ambazo haziko kwenye orodha ya malipo ya mishahara ya Serikali lakini zinapata ruzuku kutoka Serikalini; kuwa wamesajiliwa katika zoezi  la Vitambulisho vya Taifa kwa Watumishi wa Umma linaloendelea kote nchini, kufikia Oktoba 31, 2016. Agizo hilo limetolewa na Waziri wa…

More

Watumishi wa Umma washerehekea Kilele cha maadhimisho ya mbio za Mwenge kwa kujitokeza kwa wingi kusajiliwa vitambulisho vya Taifa


Watumishi wa Umma mkoani Simiyu; wamekuwa miongoni mwa watumishi waliojitokeza kwa wingi kusajiliwa Vitambulisho vya Taifa katika zoezi linaloendelea kote nchini, pamoja na kusherehekea kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru zinazoadhimishwa kitaifa mkoani Simuyu. Kilele cha sherehe hizo ni Octoba 14,2016 sherehe zitakazoambatana na kumbukumbu ya Hayati Baba wa Taifa; Mwalimu Julius Kambarage Nyerere….

More

NIDA REGISTRATION AND IDENTIFICATION OF PERSONS ACT, REGULATION 2014


nida-regidentification-act-201409302016195522

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu