Tangazo Kuanza kwa zoezi la mapingamizi wilayani Kyela


Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Wilaya ya Kyela Mbeya inapenda kuwajulisha watumishi wote wa Umma waliosajiliwa na kuhakikiwa zoezi la  Usajili wa Vitambulisho vya Taifa; kufika kwenye mbao za matangazo za ukumbi wa Halmashauri kusoma orodha ya waombaji wote wa Vitambulisho vya Taifa na kuhakiki taarifa zako kama ziko sahihi kabla ya kuingia katika…

More

Watanzania kuanza kunufaika na matumizi ya utambulisho wa Taifa(NIN)


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi; Mh. Mwigulu Nchemba (Mb) leo ametembelea Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), ambapo alikutana na Menejimenti ya NIDA na kupokea taarifa ya maendeleo ya shughuli ya Usajili na Utambuzi wa Watu. Akitoa taarifa ya maendeleo ya mradi wa Vitambulisho vya Taifa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NIDA; Ndugu Andrew…

More

Baada ya tamko la Serikali watumishi wafurika vituo vya usajili


Watumishi wa Umma mkoani Dodoma wamefurika katika vituo vya usajili kufuatia tamko la Serikali la kuongeza muda wa usajili Vitambulisho vya Taifa kufikia Oktoba 31, 2016 ambapo mfanyakazi au mwajiri ambaye atashindwa kutekeleza agizo hilo hatua stahiki zitachukuliwa dhidi yake; tamko lililotolewa na Waziri ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora…

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu