Utoaji nambari za Utambulisho wa Taifa kwenda sambamba za zoezi la usajili na uhakiki wa taarifa


Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Ndugu Andrew W. Massawe amesema zoezi la utoaji nambari za Utambulisho wa Taifa kwa wanachi waliosajiliwa wakati wa uchaguzi 2015, litakwenda sambamba na usajili mpya kwa wale ambao hawakuwahi kusajiliwa, uhakiki wa Taarifa na kukamamilisha Usajili kwa wale waliokwisha sajiliwa. Hayo ameyasema wakati wa ziara…

More

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi atembelea Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa Zanzibar


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Hamadi Yussuf Masauni amesema ni vema kuunganisha mifumo ya Serikali na Mfumo wa Vitambulisho vya Taifa ili kusaidia Serikali kuondokana na kero mbalimbali ikiwemo mishahara hewa. Hayo ameyasema alipofanya ziara , Ofisi ya Mamlaka ya Vitambulisho Vya Taifa Zanzibar ambapo pamoja na kutembelea shughuli zinazofanywa na…

More

Mabadiliko ya Anuani ya Barua Pepe ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA)


Mabadiliko ya anuani ya Barua Pepe – Swahili Mabadiliko ya Anuani ya Barua Pepe- English

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu