Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa yashauriwa kuhamasisha matumizi ya vitambulisho vya taifa katika huduma nchini


Maonesho ya sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar yameendelea leo kwenye viwanja vya Maisara – Zanzibar, ambapo wananchi wameendelea kumiminika kwa wingi kwenye banda la maonesho la Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kusajiliwa, kuchukua vitambulisho vyao na kupata elimu kuhusu umuhimu na faida za Vitambulisho vya Taifa. Miongozi mwa wageni waliotembelea banda hilo…

More

Wananchi wajitokeza kwa wingi kutembelea banda la maonesho la Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) viwanja vya Maisara – Zanzibar


Wananchi wa Zanzibar leo wamejitokeza kwa wingi kwenye sherehe za uzinduzi wa maonesho ya sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yanayoendelea kwenye viwanja vya Maisara mjini Zanzibar. Maonesho hayo yamezinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa  Dr. Ali Mohamed Shein, ambaye pamoja na mambo mengine amesisitiza Taasisi…

More

Uzinduzi ugawaji Vitambulisho vya Taifa mkoa wa Arusha


Katibu Tawala Mkoa Ndg. Richard Kwitege amezindua rasmi zoezi la Ugawaji Vitambulisho vya Taifa katika mkoa wa Arusha kwa Watumishi na wananchi waliokamilisha taratibu za usajili. Akizindua zoezi hilo, Ndugu Kwitege ameishukuru NIDA kwa hatua nzuri waliyopiga na jitihada madhubuti walizozifanya katika kuhakikisha vitambulisho vinaanza kutolewa katika mkoa wa Arusha. Zaidi ya Watumishi waliosajiliwa 26,000…

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu