Kamati ya kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama yasisitiza Serikali kuanza Matumizi ya Vitambulisho vya Taifa


Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo Nje, Ulinzi na Usalama leo imefanya ziara ya kukagua mradi wa Vitambulisho vya Taifa; ambapo mbali na kupokea taarifa ya utekelezaji pia walitembelea na kukagua kituo kikuu cha Kuhifadhi, kuchakata na kuzalisha Vitambulisho vya Taifa -Data Centre. Akizungumza wakati wa kukaribisha Kamati hiyo; Waziri wa Mambo ya Ndani ya…

More

Registration and Issuance of National Identity Cards to all Legal Residents Country wide.


The National Identification Authority (NIDA) is established by the National Identification Authority (Establishment) Instrument, 2008 with the mandate to Register and Issue Identity Cards to Tanzanian citizens and eligible residents who are non-citizens with the age of 18 years and above in accordance with the Registration and Identification of Persons Act, (Act No.11 of 1986)…

More

Vitambulisho vya Taifa Bungeni – Dodoma.


Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imeanza zoezi la Ugawaji Vitambulisho vya Taifa vipya kwa waheshimiwa Wabunge wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wanaondelea na kikao chao mjini Dodoma. Pamoja na kugawa Vitambulisho, NIDA inaendelea kuwasajili waheshimiwa Wabunge ambao hawakusajiliwa awali. Lengo ni kuhakikisha Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya…

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu