Mamia ya Wananchi wajitokeza kujisajili Vitambulisho vya Taifa Wilaya ya Mufindi


Wananchi wa Wilaya ya Mufindi Mkoa wa Iringa wamejitokeza kwa wingi kusajili Vitambulisho vya Taifa kufuatia maelekezo ya Mkuu wa mkoa huo Mhe. Amina Masenza ambaye amejizatiti kuweka historia ya kuwa mkoa wa kwanza kwa wananchi wake kuwa na Vitambulisho vya Taifa; baada ya kufanikisha kwa asilimia kubwa zoezi la kuwasajili Watumishi wa Umma lililofanyika…

More

Mkuu wa mkoa wa Iringa ameahidi mkoa wake kumaliza usajili wa Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi ndani ya siku 60.


Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Amina Juma Masenza; amemhakikishia Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Ndugu Andrew W. Massawe mkoa wake kumaliza ndani ya siku 60 zoezi la kuwasajili wananchi wote wenye umri wa miaka 18 na kuendelea wanaishi mkoani humo. Ahadi hiyo ameitoa leo alipofanya mazungumzo na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, wakati alipomtembelea…

More

Kaimu Mkurugenzi Mkuu NIDA afanya ziara ya kukagua shughuli za usajili Vitambulisho vya Taifa mkoani Iringa


Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Ndugu Andrew W. Massawe yuko mkoani Iringa kukagua maendeleo ya zoezi la Usajili na Utambuzi wa watu; ambapo pamoja na mambo mengine anatazamiwa kushuhudia sherehe za uzinduzi wa utoaji Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi wa Wilaya ya Mufindi na kuzinduliwa kwa kampeni ya Usajili wa…

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu