USAJILI WAANZA RASMI MANISPAA YA IRINGA


Wananchi wa Manispaa ya Iringa, Mkoani Iringa wamejitokeza kwa wingi kusajiliwa Vitambulisho vya Taifa, baada ya zoezi hilo kumalizika katika Wilaya ya Mufindi iliyokuwa na Kata 36 na kuanza rasmi Manispaa ya Iringa. Katibu Tawala wa Manispaa ya Iringa ndugu Joseph Chitinka amefanya ziara kukagua maendeleo ya zoezi hilo na kushuhudia mamia ya wananchi waliofurika…

More

INVITATION FOR TENDERS TENDER No. AE/061/2016-2017/HQ/G/01 FOR SUPPLY AND SUPPORT SMART CARD READERS FOR TANZANIA NATIONAL ID CARDS’’


Click to View

More

Zoezi la Usajili kata ya Igowolo wilaya ya Mufindi mkoa wa Iringa


Baadhi ya picha za matukio ya zoezi la usajili linaloendelea Mkoani Iringa katika wilaya ya Mufindi kata ya Igowolo.   Mmoja wa Wananchi wa kata ya igowolo wilayani Mufindi akichukuliwa alama za vidole (fingerprints) wakati wa zoezi la usajili wa Vitambulisho vya Taifa lililohusinsha uchukuaji wa alama za kibaiologia, saini ya kielektroniki pamoja na kupigwa…

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu