Wananchi wamiminika Sabasaba kusajiliwa Vitambulisho vya Taifa


Wananchi kutoka viunga mbalimbali vya Mkoa wa Dar-es-salaam wameendelea kumiminika katika Banda la Maonyesho la Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) lililopo kwenye hema la Jakaya Mrisho Kikwete kuchangamkia Ofa ya Kusajiliwa na kupata Vitambulisho vya Taifa, ndani ya siku za Maonyesho hayo yanayoendelea katika Viwanja ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mbali na kusajiliwa; baadhi…

More

WATANZANIA WENYE SIFA KUPATIWA VITAMBULISHO NDANI YA SIKU ZA MAONYESHO YA SABASABA


Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) tunawatangazia wananchi wote wakazi wa Dar-es-salaam ofa maalumu ya Usajili wa Vitambulisho vya Taifa wakati wa Sabasaba; ambapo kwa wale watakaokidhi vigezo watapatiwa vitambulisho vya Taifa ndani ya siku saba za maonyesho ya 41 ya Kimataifa ya Sabasaba. Huduma za Usajili zitafanyika kwenye banda la NIDA kuanzia tarehe 28 Juni…

More

Kuanza kwa kituo cha Huduma kwa Mteja (NIDA Call Center) ambacho kitakuwa kikihudumia wananchi wote nchi nzima wenye malalamiko, maswali, changamoto na shida mbalimbali kuhusu masuala ya Usajili na Utambuzi


Tunapenda kuwajulisha wananchi wote kuwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imeanzisha kituo cha Huduma kwa Mteja (NIDA Call Center) ambacho kitakuwa kikihudumia wananchi wote nchi nzima wenye malalamiko, maswali, changamoto na shida mbalimbali kuhusu masuala ya Usajili na Utambuzi. Soma zaidi

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu