Wananchi kupata Vitambulisho vyao ndani ya muda mfupi


Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)ni miongoni mwa Taasisi za Serikali zinazoshiriki maonyesho ya Kitaifa ya Nanenane, yanayofanyika katika Mkoa wa Lindi katika viwanja vya  Ngongo. Maonyesho hayo ambayo yamezinduliwa na Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene; ambaye amewaasili na kukagua baadhi ya mabanda kabla kuwahutubia wananchi wa Lindi waliokusanyika kwa wingi…

More

Usajili Vitambulisho vya Taifa waanza kwa Wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu (Machinga)


Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), RITA na Uongozi wa Wilaya ya Ilala umeanza rasmi zoezi la Utambuzi na usajili wa wafanya Biashara ndogo ndogo maarufu (Machinga) katika Wilaya ya Ilala. Lengo kubwa ni kuhakikisha kuwa Wafanya biashara wote wadogo wanatambuliwa na kusajiliwa ili kuweza kuwa na mfumo…

More

Nida yaibuka kidedea maonyesho ya 41 ya Kimataifa ya Sabasaba 2017


Mamlaka ya Vitambusho vya Taifa (NIDA) imekuwa moja ya Taasisi zilizofanya vizuri katika maonyesho ya Sabasaba mwaka huu kwa kupata tuzo ya Banda Bora katika kundi la Wizara za Serikali na Taasisi “Best Exhibitor Government Ministries & Agencies” kwenye Maonesho ya Kimataifa ya 41 Sabasaba, yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Barabara ya Kilwa…

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu