Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan atembelea banda la NIDA; afurahishwa na hatua za Usajili


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea banda la Maonyesho la Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA na kufurahishwa na ufanisi mkubwa katika kuunganisha mifumo ya Serikali yenye kulenga utoaji huduma bora na kurahisisha shughuli ya Utambuzi kwa wananchi. Mheshimiwa Makamu wa Rais ametembelea Banda la NIDA akiwa…

More

Waziri wa kilimo Zanzibar atembelea banda la maonyesho NIDA Mkoani Lindi na kusisitiza kuanza kwa matumizi ya Vitambulisho vya Taifa


Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohamed ametembelea Banda la Maonyesho la Mamlaka ya Vitambulisho vya (NIDA) na kushuhudia umati wa wananchi waliojitokeza kusajiliwa, wakiendelea na hatua za Usajili na Utambuzi katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi ambako maonyesho hayo yanafanyika. Kisha kupokea taarifa fupi ya…

More

Usajili Wanachi Vitambulisho vya Taifa wapamba moto viwanja vya Ngongo mkoani Lindi


Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi Bw.Ramadhani Kaswa, amepongeza na kushukuru Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA kwa huduma nzuri kwa wananchi wa Lindi na mkoa jirani wa Mtwara ambao wameendelea kusajiliwa Vitambulisho vya Taifa katika siku za maonyesho ya Nanenane Kitaifa yanayofanyika kwa mara ya nne mfululizo mkoani humo. Mbali na kupongeza kazi kubwa…

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu