Mfumo wa kidigitali utakaounganisha Mifumo ya taarifa ya Serikali na Binafsi nchini katika utoaji Huduma kuanzishwa


Kikao cha wataalamu wa masuala ya teknolojia ya Mawasiliano leo kimeendelea  mjini Bagamoyo kwa kuhusisha Wadau wakuu katika masuala ya utoaji huduma nchini zikiwemo Wizara, Taasisi , Mashirika na Makampuni binafsi. Katika kikao cha leo wadau wanajadili mapendekezo ya timu ya wataalamu iliyokutana siku ya kwanza ya kikao hicho kuhusu kuundwa kwa timu ya pamoja…

More

Wataalamu wa Teknolojia ya mawasiliano wakutana kujadili kuundwa kwa mfumo wa pamoja wa kidigitali utakaowezesha Mifumo ya Serikali na binafsi kubadilishana taarifa (Digital ID Ecosytem for Tanzania)


Wataalamu wa Teknolojia ya Mawasiliano nchini wanakutana katika warsha ya Siku mbili mkoani Pwani kujadili namna ya kutengeneza mfumo wa Taifa wa Kidigitali utakaowezesha mifumo ya Serikali na Binafsi kubadilishana taarifa kwa kutumia Mfumo Mkuu wa Taifa wa Usajili na Utambuzi wa Watu unaosimamiwa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA). Warsha hiyo iliyoandaliwa kwa pamoja…

More

WANANCHI WA KILOLO MKOANI IRINGA WAJITOKEZA KWA WINGI KUJISAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA


Zoezi la Usajili Vitambulisho vya Taifa limeendelea mkoani Iringa ambapo mara hii linafanyika katika Wilaya ya Kilolo Kata za Kimala, Idete na Dabaga. Kwa mujibu wa Afisa Usajili wa Wilaya hiyo Ndugu Kelfasi Walingozi utaratibu unaotumika ni wa kuwasajili Wananchi kwa Kata ambapo kwa kushirikiana na Viongozi wa Wilaya, Kata, Mitaa na Vijiji. Amesema mpaka…

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu