Arusha waliamsha; Usajili Vitambulisho vya Taifa waanza kwa kishindo


Wananchi wa Kata za Themi, Sekei na Sombetini Wilaya ya Arusha mjini leo wameanza zoezi la Usajili Vitambulisho vya Taifa kwa kishindo; huku baadhi wakihangaika huku na huko kutoa nakala ya viambatisho vyao ili kujisajili kwa wakati. Akizungumza katika Usajili huo Afisa Usajili wa Wilaya hiyo Bi. Juliet amesema wamepanga kukamilisha usajili wa Kata hizo…

More

Zoezi la Usajili na Utambuzi laanza rasmi mkoani Singida


Katika kufanikisha Lengo Msingi la Serikali la kuwasajili na kuwatambua Wananchi wake wote, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa – NIDA kwa kushirikiana na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida imezindua zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu Mkoani humo lenye lengo la kuwasajili Wananchi wote waliofikisha Umri wa Miaka 18 na kuendelea,pamoja na Wageni…

More

Usajili Vitambulisho vya Taifa mkoa wa Songwe


Zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu limeendelea leo mkoani Songwe, ambapo zaidi ya Kata 5 tayari zimekamilisha Usajili huo uliolenga kukusanya taarifa sahihi za watu wote wenye umri wa miaka 18 na kuendelea, wakiwemo wageni wanaoishi kihalali mkoani humo. Wakazi wa Songwe na Mbozi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kusajiliwa ili kunufaika na manufaa mapana…

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu