FAHAMU JINSI YA KUREKEBISHA TAARIFA ZA JINA
Comments on “FAHAMU JINSI YA KUREKEBISHA TAARIFA ZA JINA”
Leave a Reply
Taarifa Kwa Umma
28 October
2024
2024
23 October
2024
2024
21 October
2024
2024
Jina langu wamekosea wenyew nimefika ofisin lakn hadi sasa ni mwaka umeisha hariarekebishwa na niko mbali na mkoa nilio jiandikishia
Sorry wakubwa me majina yangu yalipo nida yote matatu yako tofauti na vyeti vyangu vya shule msaada hapo nifanyaje nashindwa hadi kuomba kazi msaada wakubwa
Andika barua kwa Mkurugenzi Mkuu, SLP 12324 Dar ea Salaam kuwasilisha ombi la kubadilisha majina ukielezea na sababu ya kuomba mabadiliko hayo, utajibiwa ipasavyo
Inachukua muda gan hurekebisha herufi ya jina au kutoa herufi, mfano:-samweli kuwa samwel
Habari,
Mabadiliko ya taarifa hufanyika ndani ya miezi mitatu, inaweza kuwa chini ya hapo au zaidi kidogo kutegemea na wingi wa maombi yaliyotangulia awali pindi unawasilisha ombi lako. Shukrani.
Kwanini ukienda kwenye ofisi za WILAYA tofauti na ulipojiandikisha wanakataa kulekebisha taarifa? Wengine tupo mbali na tulipo andikisha. Tusaidieni turekebishie maeneo tulipo
Habari,
Kwasasa utaratibu uliopo mteja ambae hana kitambulisho cha Taifa anatakiwa kufika kwenye Ofisi ya NIDA ya Wilaya alikojisajilia.
Asante.
Mwaka 2020 nilianza process za kutafuta namba ya NIDA nikafanikiwa kupata 2021 bad enough sikuangalia namba yangu Kwa makini mwaka 2022 mwisho nikagundua katika taarifa zangu za NIDA mwaka wa kuzaliwa ulikosewa nilifika ofisi za NIDA pale mbeya nilipofanyia usajili wakakubali kuwa kweli walikosea maana wakati wa usajili niliambatanisha cheti Cha kuzaliwa mpaka Leo 2024 sijaona any feedback maana waliniandika kwenye daftali la malalamiko so what can I do na Mimi siwezi kuendeleza kutumia hii no kwasababu taarifa zake sio sahihi , nafanyaje kurekebisha hii no yangu na nida walikili kweli kuwa kosa lipo kwao maana niliambatanisha cheti Cha kuzaliwa kabisa
Mim jina langu langu walikosea wenyewe, nimefika Ofisi za NIDA DODOMA tangu mwaka waka jana mwez wa2/2022, lkn nilikutana na Mlolongo mrefu wa kubadirisha Jina, nililipia elf20, nikaenda nikapata hati ya mwanasheria kwa ajili ya kuthibitisha kubadiri jina, nilivyorudi ofisini niliambiwa nipeleke taarifa Gazeti la Serikali ili ichapwe nirejeshe,lkn niliambiwa gharama ya gazeti ni Tsh20,000/=.Niliona mlolongo nimrefu na kipato hicho sikuwa nacho, niliamua kuondoka mpaka sasa nimebaki na hati za Mwanasheria Ndani.
Habari,
Huo utaratibu ni lazima ufuatwe ili mteja aweze kubadilisha taarifa zake.
Asante.
Hili tatizo la kufanya marekebisho kwakweli linatuchosha nimehangaika miaka miwili nimefuata hatua zote lakini hakuna kitu
Habari,
Tafadhali tutumie maombi yako kwenye email info@nida.go.tz ukiwa na nyaraka zako zote.
Asante.
Je inawezekana kuomba kubadilisha picha ya kwenye kitambulisho cha utaifa?
Habari,
Inawezekana, tafadhali fika kwenye Ofisi za NIDA ya Wilaya ulipojiandikisha kwa msaada zaidi.
Asante.
Jina langu limekosewa nilikuoa naomba marekebisho
Katotoanord@gmail.com my name is ANODI GEOFREY KABELEGE but wroten *Anord* Geofrey kabelege
Je kuna uwezekano wa kubadilisha majina yote matatu
Majina yangu ya NIDA ni MAGOTI MAGOJUST MAGOJUST naweza kubadili yote ya fanane na kwenye Vyeti vyangu majina JUSTINE MAGOTI KUJERWA. 0763762276 0626611994
Salaam Ndg.
Maaboresho ya Jina
Ili ombi lako lifanyiwe kazi juu ya maboresho ya jina, unapaswa kuwasilisha nyaraka zifuatazo kwenye ofisi ya Usajili ya NIDA:-
i. Kadi ya kliniki, tangazo, cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la vii, kidato cha iv ama ‘leaving Certificate’
ii. Kiapo ‘Deedpoll’ kilichotolewa na Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi.
iii. Tangazo la gazeti la serikali lenye taarifa ya mabadiliko husika,
iv. Iwapo utaombwa nyaraka nyingine na Afisa Usajili ya kuthibitisha umri utatakiwa kutoa ushirikiano,
v. Mabadiliko yoyote ambayo hayana ushahidi wa nyaraka sahihi na zote zilizo orodheshwa hayatapokelewa wala kuruhusiwa kufanyiwa kazi.
Iwapo makosa yamefanyika upande wetu, Afisa Usajili atajiridhisha na kuendelea na maboresho pasipo kulazimika kulipia gharama yoyote lah utapaswa kulipia shilingi 20,000/=
Muhimu:- ombi la mteja linaweza kuafikiwa ama lah kutegemea na sababu na nia ya mteja kutaka kufanya maboresho ya taarifa zake.
Deedpoll: inataka ukane majina mfano majina mfano NIDA naitwa MAGOTI MAGOJUST MAGOJUST na sitaki kukana ayo majina ila kwenye VYETI VYANGU natumia majina aya JUSTINE MAGOTI KUJERWA inawezekana nikatumia JUSTINE MAGOTI KUJERWA kwenye NIDA. 0763762276 0626611994 @magotimagojust@gmail.com ≥Magojust≤
Salaam Ndg.
Maaboresho ya Jina
Ili ombi lako lifanyiwe kazi juu ya maboresho ya jina, unapaswa kuwasilisha nyaraka zifuatazo kwenye ofisi ya Usajili ya NIDA:-
i. Kadi ya kliniki, tangazo, cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la vii, kidato cha iv ama ‘leaving Certificate’
ii. Kiapo ‘Deedpoll’ kilichotolewa na Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi.
iii. Tangazo la gazeti la serikali lenye taarifa ya mabadiliko husika,
iv. Iwapo utaombwa nyaraka nyingine na Afisa Usajili ya kuthibitisha umri utatakiwa kutoa ushirikiano,
v. Mabadiliko yoyote ambayo hayana ushahidi wa nyaraka sahihi na zote zilizo orodheshwa hayatapokelewa wala kuruhusiwa kufanyiwa kazi.
Iwapo makosa yamefanyika upande wetu, Afisa Usajili atajiridhisha na kuendelea na maboresho pasipo kulazimika kulipia gharama yoyote lah utapaswa kulipia shilingi 20,000/=
Muhimu:- ombi la mteja linaweza kuafikiwa ama lah kutegemea na sababu na nia ya mteja kutaka kufanya maboresho ya taarifa zake.
Magina yangu na mwaka wa kuzaliwa yamekosewa je. Naweza kubadilisha nikl
TAREHE/MWEZI WA KUZALIWA
Mwombaji anayehitaji kuboreshewa taarifa ya tarehe/mwezi wa kuzaliwa anapaswa kuwasilisha nyaraka zifuatazo kwenye ofisi ya NIDA ya Usajili ya Wilaya:-
i. Cheti cha kuzaliwa kilichopatikana awali na wazazi/walezi
ii. Cheti cha kumaliza shule ya msingi,
iii. Kadi ya Kliniki,
iv. Cheti cha kumaliza shule za sekondari (Leaving Certificate),
v. Nyaraka yoyote ya awali yenye kuthibitisha tarehe/mwezi wa kuzaliwa kabla ya kusajiliwa NIDA.
vi. Iwapo nyaraka hitajika ulishawasilisha awali na ziko kwenye mfumo wa Utambuzi wa Watu wa NIDA, Afisa Usajili atafanya uhakiki kupitia taarifa ulizowasilisha awali zenye tarehe na mwezi unaohitaji usomeke.
vii. Mteja unaombwa kutoa ushirikiano kwani ombi halitakiwi kupokelewa na Afisa Usajili iwapo nyaraka tajwa hazija ambatishwa/kukamilika.
ix. Afisa Usajili atajiridhisha na kuendelea na maboresho baada ya mwombaji kulipia shilingi 20,000/=
Muhimu:- ombi la mteja linaweza kuafikiwa ama lah kutegemea na sababu na nia ya mteja kutaka kufanya maboresho ya taarifa zake,
Majina yangu na mwaka wa kuzaliwa yamekosewa je. Naweza kubadilisha nikl

Mbona kila kitu nimefanya naambiwa mpaka nipeleke kitambulisho je kama sijakipata bado nitafanyeje?
Namba yangu ya nida imekosewa badala ya 1996 imeandikwa 1998 naomba kurekebishiwa
TAREHE/MWEZI WA KUZALIWA
Mwombaji anayehitaji kuboreshewa taarifa ya tarehe/mwezi wa kuzaliwa anapaswa kuwasilisha nyaraka zifuatazo kwenye ofisi ya NIDA ya Usajili ya Wilaya:-
i. Cheti cha kuzaliwa kilichopatikana awali na wazazi/walezi
ii. Cheti cha kumaliza shule ya msingi,
iii. Kadi ya Kliniki,
iv. Cheti cha kumaliza shule za sekondari (Leaving Certificate),
v. Nyaraka yoyote ya awali yenye kuthibitisha tarehe/mwezi wa kuzaliwa kabla ya kusajiliwa NIDA.
vi. Iwapo nyaraka hitajika ulishawasilisha awali na ziko kwenye mfumo wa Utambuzi wa Watu wa NIDA, Afisa Usajili atafanya uhakiki kupitia taarifa ulizowasilisha awali zenye tarehe na mwezi unaohitaji usomeke.
vii. Mteja unaombwa kutoa ushirikiano kwani ombi halitakiwi kupokelewa na Afisa Usajili iwapo nyaraka tajwa hazija ambatishwa/kukamilika.
ix. Afisa Usajili atajiridhisha na kuendelea na maboresho baada ya mwombaji kulipia shilingi 20,000/=
Muhimu:- ombi la mteja linaweza kuafikiwa ama lah kutegemea na sababu na nia ya mteja kutaka kufanya maboresho ya taarifa zake,
Je Kuna uwezekano wa kubadili Jina Kwa mwanamke aliyetumia Jina la ukoo la mume wake. Na kama inawezekana ni nyaraka Gani zinahitajika tafadhali
Salaam Ndg.
Maaboresho ya Jina
Ili ombi lako lifanyiwe kazi juu ya maboresho ya jina, unapaswa kuwasilisha nyaraka zifuatazo kwenye ofisi ya Usajili ya NIDA:-
i. Kadi ya kliniki, tangazo, cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la vii, kidato cha iv ama ‘leaving Certificate’
i(a) Cheti cha ndoa/Talaka ama Kifo kutegemea na hali ya ndoa yako kwa sasa.
ii. Kiapo ‘Deedpoll’ kilichotolewa na Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi.
iii. Tangazo la gazeti la serikali lenye taarifa ya mabadiliko husika,
iv. Iwapo utaombwa nyaraka nyingine na Afisa Usajili ya kuthibitisha umri utatakiwa kutoa ushirikiano,
v. Mabadiliko yoyote ambayo hayana ushahidi wa nyaraka sahihi na zote zilizo orodheshwa hayatapokelewa wala kuruhusiwa kufanyiwa kazi.
Iwapo makosa yamefanyika upande wetu, Afisa Usajili atajiridhisha na kuendelea na maboresho pasipo kulazimika kulipia gharama yoyote lah utapaswa kulipia shilingi 20,000/=
Muhimu:- ombi la mteja linaweza kuafikiwa ama lah kutegemea na sababu na nia ya mteja kutaka kufanya maboresho ya taarifa zake.
Naomba kujua mke wangu alikosea taarifa zake kwa upande wa jina la baba yake afanyeje ili aweze kubadili
Salaam Ndg.
Anapaswa kurekebisha kwanza cheti cha kuzaliwa ndipo afike NIDA kufanya marekebisho.
Kwann msiruhusu tukalipia huku huku na mkarekebisha kuliko mlolongo wa kwenda kwenye foleni
Malipo bado unaweza kufanya ulipo isipokuwa nyaraka na maombiunalazimika ufike ofisini kwanza kabla ya kufanya malipo yoyote.
NJIA YA KUPATA CONTROL NUMBER
Jinsi ya kupata Namba ya Malipo (Controll Number) kwa Njia ya Mtandao
https://services.nida.go.tz (self Service/Jihudumie)
Mimi nilikosea jina kwenye kujiandikisha nikaandikishwa VEDASTUS RAMADHAN NYAMAGANDA, nikafanya marekebisho kwa kusajiliwa upya VEDASTUS RAMADHAN MSOKA kama ilivyo kwenye vyeti vyangu vya shule na cheti cha kuzaliwa. lakini wakazuia usajiri huo wa pili ulio sahihi na kunipa namba ya usajili wa awali uliokosewa. nifanyeje sasa?
Salaam Ndg.
Tuma ombi lako kwenda info@nida.go.tz, uweke na NIN yako na kuainisha ofisi ulikopatiwa huduma.
Shukrani.
I delight in, cause I found exactly what I used to be taking a
look for. You have ended my 4 day long hunt! God Bless you man. Have a
great day. Bye
My webpage … KASACK
Greetings,
Mention not.
You are welcome!
Ukiwa na kitambulisho Cha nida tayari ni lazima urudi ulikojiandikisha Ili kurekebisha taarifa zako kwenye kitambulisho?
Hapana unaweza fanya marekebisho kwenye ofisi yoyote ya Usajili ya NIDA, wilayani.
Naomba kusaidiwa jambo, nahitaji kubadilisha jina Moja wapo lililopo katika kitambulisho cha Taifa cha mzazi (baba) wangu ” Mathias Sengelema Giligita” kuwa Mathias Gidalima Giligita ” shabaha ya jambo hili ni kuweza kumkatia kadi ya bima ya AFya afya mzazi wangu.
Salaam Ndg.
Unashauriwa kufika ofisi za RITA kubadilisha kwanza cheti cha kuzaliwa ndipo uwasilishe cheti kipya NIDA pamoja na kufuata taratibu zingine za marekebisho ya majina ya wazazi.
Shukrani.
naitwa DENICE RUGANGIRA kitambulisho changu ni DENICE DEOGRATIUS NESTORY nahitaji kubadili ili kitambulisho changu kisome DENICE RUGANGIRA DEOGRATIUS naomba ushauri nianze mchakato mana sijui suala la gazeti la serikali linapatikanaje
Salaam Ndg.
Maaboresho ya Jina
Ili ombi lako lifanyiwe kazi juu ya maboresho ya jina, unapaswa kuwasilisha nyaraka zifuatazo kwenye ofisi ya Usajili ya NIDA:-
i. Kadi ya kliniki, tangazo, cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la vii, kidato cha iv ama ‘leaving Certificate’
ii. Kiapo ‘Deedpoll’ kilichotolewa na Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi.
iii. Tangazo la gazeti la serikali lenye taarifa ya mabadiliko husika,
iv. Iwapo utaombwa nyaraka nyingine na Afisa Usajili ya kuthibitisha umri utatakiwa kutoa ushirikiano,
v. Mabadiliko yoyote ambayo hayana ushahidi wa nyaraka sahihi na zote zilizo orodheshwa hayatapokelewa wala kuruhusiwa kufanyiwa kazi.
Iwapo makosa yamefanyika upande wetu, Afisa Usajili atajiridhisha na kuendelea na maboresho pasipo kulazimika kulipia gharama yoyote lah utapaswa kulipia shilingi 20,000/=
Muhimu:- ombi la mteja linaweza kuafikiwa ama lah kutegemea na sababu na nia ya mteja kutaka kufanya maboresho ya taarifa zake.
Mawasiliano ya ofisi za gazeti la serikali ni: 0692453362
Umakini mdogo wa wachukua taarifa za majina kutoka nida zinatugharimu.imagine jina langu ni ISMAIL wao wameandika ISAMIL
Salaam Ndg.
Maaboresho ya Jina
Ili ombi lako lifanyiwe kazi juu ya maboresho ya jina, unapaswa kuwasilisha nyaraka zifuatazo kwenye ofisi ya Usajili ya NIDA:-
i. Kadi ya kliniki, tangazo, cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la vii, kidato cha iv ama ‘leaving Certificate’
ii. Kiapo ‘Deedpoll’ kilichotolewa na Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi.
iii. Tangazo la gazeti la serikali lenye taarifa ya mabadiliko husika,
iv. Iwapo utaombwa nyaraka nyingine na Afisa Usajili ya kuthibitisha umri utatakiwa kutoa ushirikiano,
v. Mabadiliko yoyote ambayo hayana ushahidi wa nyaraka sahihi na zote zilizo orodheshwa hayatapokelewa wala kuruhusiwa kufanyiwa kazi.
Iwapo makosa yamefanyika upande wetu, Afisa Usajili atajiridhisha na kuendelea na maboresho pasipo kulazimika kulipia gharama yoyote lah utapaswa kulipia shilingi 20,000/=
Muhimu:- ombi la mteja linaweza kuafikiwa ama lah kutegemea na sababu na nia ya mteja kutaka kufanya maboresho ya taarifa zake.
Je iwapo umekosea namba Moja t ya mwaka wa kuzaliwa inakuwaje naomba mnisaidie nimekosea namba ya kuzaliwa
Mwombaji anayehitaji kuboreshewa taarifa za tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa anapaswa kuwasilisha nyaraka zifuatazo:
i. Cheti cha kuzaliwa kilichopatikana awali na wazazi/walezi na chenye mabadiliko ya sasa, ambapo NIDA tutajiridhisha mabadiliko hayo kupitia RITA.
ii. Cheti cha kumaliza shule ya msingi,
iii. Kadi ya Kliniki,
iv. Cheti cha kumaliza shule za sekondari (Leaving Certificate),
v. Nyaraka yoyote ya awali yenye kuthibitisha mwaka wa kuzaliwa kabla ya kusajiliwa NIDA.
vi. Ombi la mteja litawasilishwa kwenye kamati ya Usajili na Utambuzi wa watu, iwapo watajiridhisha kuwa ombi limekidhi vigezo ndipo watatoa kibali ili Afisa Msajili aweze kuendelea na hatua ya kufanya maboresho, ombi lisipokidhi vigezo, kibali hakitatolewa na Afisa Msajili hatoweza kuendelea na hatua yoyote ya maboresho.
vii. Mteja unaombwa kutoa ushirikiano kwani ombi halitakiwi kupokelewa iwapo nyaraka tajwa hazijaambatishwa/kukamilika kwa Idadi tajwa.
Nahitaji kurekebishiwa jina herufi moja.
Jina limekosewa.Ndakeo
Jina sahihi ni.Mdakeo
Kama kitambulisho kimeshtoka na umechukua tafadhali nenda nacho Ofisi yoyote ya NIDA kupata maelekezo ya namna ya kurekebisha taarifa. Kama bado, tafadhali nenda Ofisi ya NIDA ulipojisajilia utahudumiwa
Nahitaji kubadili majina kwenye NIDA (MASANA BONIPHACE MASALU) kuwa BONIPHACE MAGESA KUCHAGA
Sababu ya kubadilisha, ninahitaji majina ya NIDA yafanane na majina ya vyeti vya taaluma
Naomba kusaidiwa
Tafadhali andika barua kwa Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa, Box 12324 Dar es Salaam ukielezea hiyo sababu yako. Pia ambatisha nyaraka zinazosupport hayo mabadiliko kikiwemo cheti cha kuzaliwa
Sory naitwa legan boniface unaweza nsaidia namba yako ya sm nashda na ww
Eleza shida yako hapa uhudumiwe
Nnaitwa GODWIN JULIUS SIMBEYE,Mimi jina langu kwenye nida limekosewa herufi Moja Linasomeka GODWIN JULIUS SIMBIYE kwenye nida ila linatakiwa kusomeka GODWIN JULIUS SIMBEYE, Je ni taratibu zipi hufuatwa kurekebisha herufi ya jina? Pili ni vitu gani vya muhimu wakati wa kufanya marekebisho ya jina kwenye nida, tatu wapi panastahili kwenda kurekebisha herufi ya jina ni makao makuu ya nida au wapi,
Kama umeshachukua kitambulisho chako utatakiwa kwenda ofisi yoyote ya NIDA wilaya iliyo karibu na wewe ili kupata control number (namba ya malipo) ukishalipa rudi na risiti ya malipo kuendelea na hatua zinazofuata. viambatisho vinavyohitajika ni pamoja na cheti chako cha kuzaliwa na nyaraka nyingine toyote yenye jina husika.
Jina langu ni shida segeso mabula nilijiandikisha kupata NIDA mwaka 2019 nikapata no ya NIDA lakini nilifanya maombi ya nafasi za kazi NIDA yangu inasoma wa kike wakati nilipeleke cheti Cha kuzaliwa na cheti Cha form four Sasa nataka nibadilishe jina Kwa ujumla Badala ya shida niitwe jina jingine msaada hapo nianzie kitengo kipi kubadili cheti Cha kuzaliwa au NIDA au Cha form four
Anza cha kuzaliwa kisha uje NIDA kufanya mabadiliko
je kuna gharama za kulipia kwa msajili wa wilaya?
Samahani unataka huduma gani ili tukufahamishe
Namba yangu ya nida imekosewa erufi moja ya kina nisaidieni
Kama kitambulisho hakijatoka nenda ofisi uliyojiandikisha kufanya hayo marekebisho, kama umeshachukua kitambulisho nenda ofisi yoyote ya NIDA kupata maelekezo na taratibu za mabadiliko hayo
Samahani mimi naitwa Nyasunga kasiani john Mimi nina langu limekosewa kwenye namba ya nida limeandikiwa NYASUNDA KASIANI JOHN Naombeni msaada wenu ilikuweza kufanikisha Nida
Kama kitambulisho hakijatoka nenda ofisi uliyojiandikisha kufanya hayo marekebisho, kama umeshachukua kitambulisho nenda ofisi yoyote ya NIDA kupata maelekezo na taratibu za mabadiliko hayo
Samahan naitwa legan Boniface nashda na ww private unaweza kunsaidia namba yako? Namba yangu n 0783618764
Eleza shida yako hapa uhudumiwe
Habari za leo. Nina swali moja kama ifuatavyo:
Je, kuna uwezekano wa mke wangu kubadili jina alilokuwa akitumia awali na hivyo kutumia jina langu?
Mfano Mimi naitwa James Julius Joel na mke wangu ni Margret Maximilian Haule lakini nataka mke wangu aitwe Margaret Julius Joel.
Kuna uwezekano huo wa kubadilisha jina?
Uwezekano upo lkn hakikisha ana nyaraka zinazothibitisha jina ulitakalo kama haitamwathiri katika vyeti vyake vya masomo na ubatizo
Nyasunga maskani John
Samahani mimi jinalangu limekosewa erufi mnaweza mkanisaidia maana ninashinda na nida na ni mda nazungumzia muda sipati mafanikio
Kama kitambulisho hakijatoka nenda ofisi uliyojiandikisha kufanya hayo marekebisho, kama umeshachukua kitambulisho nenda ofisi yoyote ya NIDA kupata maelekezo na taratibu za mabadiliko hayo
Nyasunga Kasiani John

Habari za wakati huu.
Widhara ya Vitamburisho vya Taifa wananchi wengi nikiwemo namimi napenda kutoa maombi ya programme yakurekebishiwa majina inge fanyika kama mpango maalumu kwani wapo wengi wanapata changamoto
Sisi ni Mamlaka sio wizara. wazo lako tumelipokea asante kwa ushauri
Naitwa MAULIDI RAMADHANI MCHOME,kitambulisho change kinasomeka MAULIDI MOHAMMED MCHOME ila kwenye kujaza nilijaza taarifasahihi,nikarudi nida nikaambiwa niandike barua kwa mkurugenzi mkuu mpaka Leo zaici ya miaka5 hakuna majibu,nimerudi nida wakasema nijaze fomu ipite kwa afsa mtendaji niambatanishe na nakala ya CHETI Cha kuzaliwa na Cha taaluma nikapeleka,baada ya wiki naambiwa fomu haijakamilika Tena nikatoe tangazo kwenye gazeti la serikali.Naombeni ufafanuzi hapa hatua sahihi za kufuata.
Fuatilia majibu ya barua yako kwa kuwa maelekezo yote utapewa kwenye hiyo barua
Hi picha yangu ya kwenye namba za NIDA sionekan niya zamani sana nifanyaje
Nenda Ofisi ya Wilaya iliyo karibu na wewe kwa maelekezo na taratibu zinazotakiwa
Hi picha yangu ya kwenye namba za NIDA sionekan niya zamani sana nifanyaje kubadilisha
Nenda Ofisi ya Wilaya iliyo karibu na wewe kwa maelekezo na taratibu zinazotakiwa
Jina langu ni shida segeso mabula nilijiandikisha kupata NIDA mwaka 2019 nikapata no ya NIDA lakini nilifanya maombi ya nafasi za kazi NIDA yangu inasoma wa kike wakati nilipeleke cheti Cha kuzaliwa na cheti Cha form four Sasa nataka nibadilishe jina Kwa ujumla Badala ya shida niitwe jina jingine msaada hapo nianzie kitengo kipi kubadili cheti Cha kuzaliwa au NIDA au Cha form four
Anza cha kuzaliwa kisha uje NIDA kufanya mabadiliko
Naitwa JOSEPHAT BASLID STANSLAUS, kwenye kweny kitambulisho changu jina linasoma JOSEPHAT BASLID KIMOLO nataka kubadilisha jina la uko liwe STANSLAUS.
Kadi ya kliniki imepoteza miaka 15 iliyo pita na mama mzazi Alisha farikinitawezaje kulekebisha jina la ukoo wakati kadi ya kliniki Sina?
Sababu ya kubadilisha jina ni ili jina la kwenye kitambulisho Cha taifa lifanane na vya kweny Vyeti vya taaluma
Tumia cheti cha kuzaliwa au ubatizo na nyaraka nyinginezo
Naitwa JOSEPHAT BASLID STANSLAUS, nataka kubadilisha jina la uko.
Kadi ya kliniki imepoteza miaka 15 iliyo pita na mama mzazi Alisha farikinitawezaje kulekebisha jina la ukoo wakati kadi ya kliniki Sina?
Sababu ya kubadilisha jina ni ili jina la kwenye kitambulisho Cha taifa
Tumia cheti cha kuzaliwa au ubatizo na nyaraka nyinginezo
Kadi ya kliniki imepotea miaka 15 iliyo pita na mama mzazi Alisha fariki nitawezaje kulekebisha jina la ukoo wakati kadi ya kliniki Sina?

Naomba kufahamu kuhusu upatikanaji wa hizo nyaraka hasa hiyo kutoka wizara ya makazi na gazeti la serikali naanzia wapi kulifikia
Nenda wizara ya ardhi kila mkoa wana ofisi, kisha neda kwa mpiga chapa mkuu wa serikali kwa ajili ya tangazo
Nimetumia jina la ukoo kwenye nida badala ya jina la Babu ambalo ndio liko kweny vyeti vyangu vya taaluma nataka nibadilishe kwenye nida Ili inisaidie ku-apply mkopo wa chuo napaswa kufuata taratibu zipi?
Nenda Ofisi ya NIDA wilayani kupata taratibu na maelekezo ya mabadiliko hayo
Samahani naomba kujua mimi jina langu limekosewa kwenye kitambulisho changu cha Nida pamoja na namba yangu badala ya Neema limeandikwa Neeema je nifanyeje?
Nenda Ofisi ya NIDA wilayani kupata maelekezo na taratibu za mabadiliko ya taarifa
Samahan toka mwaka 2022 nlifika ofisi ya nida kurekebisha taarifa zangu tarehe ya kuzali, mwaka pamoja na jina hatua zote nlifata na zote nkamaliza lakin hadi sasa cjapata jibu lolote kutoka ofisi ya wilaya.
Tafadhali fuatilia Ofisi ya NIDA wilaya uliyojisajilia kujua hatua iliyofikiwa
Kama mimi nahitajika kubadilisha jina la baba na lakwangu piah na nationality ya baba piah itanichukuwa mda Gani?
Ndani ya wiki 2 hadi mwezi mmoja
Naomba kubadilishiwa mwaka kwenye nida yangu
20030916357120000128 kutoka kwenye mwaka 2003 iwe 2004
Andika barua kwa Mkurugenzi Mkuu, sLP 12324 Dar es Salaam ukiomba hayo mabadiliko na kueleza sababu za mabadiliko unayoomba. Hakikisha umeambatisha nyaraka inayothibitisha kwa usahihi mabadiliko unayoyataka
Naitwa Nyasunga kasiani john Mimi kuna herufi ya kina imekosewa wameandika NYASUNDA Baada ya Nyasunga nisaidieni
Nenda Ofisi ya NIDA ukiwa na nyaraka zinazothibitisha usahihi wa majina yako kwa maelekezo na hatua zaidi
Mpangilio wa majina katika kitambulisho changu ni tofauti katika nyaraka za kiofisi.
Mfano:
Kwenye nida jina linasomeka Rajabu Mbogo Juma
Kwenye nyaraka za kiofisi jina linasomeka Rajabu Juma Mbogo.
Je, inawezekana kubadirisha?
Tara
Ndiyo unaweza kubadilisha. Kama ni mtumishi wa umma kabla ya kwenda Ofisi ya NIDA hakikisha unapata Kibali cha Katibu Mkuu, Menejimenti ya Utumishi wa Umaa na Utawala Bora kisha nenda Ofisi yoyote ya NIDA iliyo jirani na wewe kwa maelekezo na hatua zaidi, ukiwa na nyaraka zinazothibitisha mpangilio wa majina yako

Naitwa Samwel Blezy Chipila.
Kitambulisho changu cha NIDA Kina makosa ya herufi. Yaana imeandikwa SAMWELI badala ya SAMWEL
kama bado hujapata Kitambulisho nenda Ofisi uliyojisajilia kufanya marekebisho husika ukiwa na nyaraka inayothibitisha usahihi wa jina lako. Kama umeshachukua Kitambulisho tayari, tafadhali nenda Ofisi yoyote ya NIDA kwa ajili ya kupata Maelekezo ya Kubadilisha jina
Naitwa Samweli Blezy Chipila.
Nataka kubadili herufi moja. Kwenye ID wameandika SAMWELI,Badala ya SAMWEL.
kama bado hujapata Kitambulisho nenda Ofisi uliyojisajilia kufanya marekebisho husika ukiwa na nyaraka inayothibitisha usahihi wa jina lako. Kama umeshachukua Kitambulisho tayari, tafadhali nenda Ofisi yoyote ya NIDA kwa ajili ya kupata Maelekezo ya Kubadilisha jina
Habari jina langu limekosewa nifanyeje?
Kaka Jonas kama bado hujapata Kitambulisho nenda Ofisi uliyojisajilia kufanya marekebisho husika ukiwa na nyaraka inyothibitisha usahihi wa jina lako. Kama umeshachukua Kitambulisho tayari, tafadhali nenda Ofisi yoyote ya NIDA kwa ajili ya kupata Maelekezo ya Kubadilisha jina
Habar tarehe yangu ya kuzaliwa imekosewa naweza kufanyaje naomba msaada
Nenda Ofisi yoyote ya NIDA ukiwa na cheti cha kuzaliwa kilichothibitishwa na RITA kwa maelekezo na Hatua zaidi
Kaka Gofrey Tengeneza in advance you answers are good indeed but here i’ve a complain. In my ID i mean National Id names are read incorrectly which means the names, date na year of birth are totally wrong what should i do. Remember it was just 2017 for the first time to register.
Write a letter to the Director General requesting changes of those personal particulars and describing why you intend for such a request you will be replied accordingly.
Inachukua muda gani NIDA kuonyesha jina sahihi baada ya kubadilisha
Inategemea na watu waliopo kwenye foleni katika mfumo. Lakini haizidi muda wa siku 30
Jina limekosewa nahitaji libadilishwe jina la mwisho jina ni Kitimla wameandika Kitimila naona ajabu kwemba fomu ya maombi nimeandika sawa imekosewa vipi
Kama kitambulisho hakijatoka nenda ofisi uliyojiandikishia kufanya mabadiliko hayo. Kama kitambulisho kimeshatoka na umechukua nenda Ofisi ya yoyote na NIDA utapewa Control number utalipia kisha haikikisha una nyaraka inayosapoti usahihi wa jina lako kikiwemo cheti cha kuzaliwa na nyaraka nyingine yoyote uliyonayo
Kiongozi Samahani, namba yangu ya Nida imekosewa Mwaka wa kuzaliwa, imeandikwa 1999 badala ya 2000, nimepata shida sana kubadilisha maana vyeti vyangu vyote vya shule ni “2000” Naomba kusaidiwa jaman
Andika barua kwa Mkurugenzi Mkuu, SLP 12324 Dar ea Salaam kuwasilisha ombi la kubadilisha taarifa ukielezea sababu ya mabadiliko hayo, utajibiwa ipasavyo
In National id it read ELISHA MICHAEL ALFREDY NIN NO: 19980804… WHILE My names are JACKSON MUSA STEPHANO which i use in school since nursery up to date. D.O.B 2003 YEAR, 08 MONTH, 03 DAY.how will this hhappen to get another chance for update but that is not the mistake from custemor it was my grandmother mistake. He wrote A.K.A to means my grand father
It is not advisable to change all three names. but if you have strong reason please write to the Director General, P. O. Box 12324 Dar es Salaam requesting the changes and describing why you intend for such a request, you will be replied accordingly.
Ok thank you
After writing letter where should i take soft copy or poster
Naitwa Musa Sagwa shida yangu ni mwaka wa kuzaliwa umekosewa kwenye nida yangu na nilienda ofisi ya nida wakaniambia niandike barua na kutoa sababu ya kubadilisha nikafanya hivo kwa kuwasilisha chet cha kuzaliwa na vyeti vyangu vya taaluma pamoja na leaving certificate nikapeleka barua hiyo mamlaka ta nida wakaniambia nitapigiwa simu kakibu hadi leo hakuna cha simu wala email na kuna siku nikarud ilikuwa march wakasema hawajapata mrejesho wahudumu wa hapo nao na barua niliandika tangu january 2024 je nifanyaje? naomba msaada nipo Arusha usaliver
Nahitaji kubadilisha jina kwenye nida like IMMANUEL OMBEN KASUMBA Badala ya EMMANUEL OMBEN KASUMBA lililopo sasa
Tembelea Ofisi ya NIDA wilaya iliyo jirani na wewe kwa Maelekezo na Usaidizi zaid
naitwa HARUNA ISMAIL ABDALLAH nataka niongeze jina la ukoo niitwe HARUNA ISMAIL ABDALLAH MNYAMWEZI katika kitambulisho je inawezekana? if yes what can I do I mean ze steps I need to follow to accomplish this, if not what can I do to make sure that name appears on my certicates?
Tafadhali tembelea Ofisi ya NIDA wilaya iliyo karibu na wewe kupata maelekezo na utaratibu
naitwa HASSAN PETER HASSAN Nataka nitambulike kama HASSAN PETER HASSAN MAHALILA, je inawezekana?
Inawezekana, tafadhali tembelea ofisi yoyote ya NIDA kupata maelekezo na utaratibu zaidi
Habari ndugu Geofrey,ahsante sana kwa kuwa karibu na kuelekezeka wateja na NIDA ipasavyo.
Je inawezekana kubadilisha taarifa ya mama mzazi kwenye NIDA?. Mfano mtoto aliyelelelewa na bibi yake wa ukoo, bibi huyo anaitwa Simba Mkali alimchukulia mjukuu cheti cha kuzaliwa ambapo kwenye cheti bibi aliandika jin alake kama mama wa mtoto ilhali mama wa mtoto ni Chui Mpole. mtoto kahsakua mtu mzima na ana NIDA ambayo taarifa ya mama inasoma jina la bibi. utaratibu ukoje kurekesbisha taarifa sahihi.
shukran.
Fika Ofisi ya NIDA wilaya iliyo karibu na wewe kupata maelekezo na utaratibu pamoja na usaidizi zaidi

Habari naomba kufahamu tangazo la serikali nalipataje kuhusu kubadilisha taarifa zangu za nida.
Tangazo unalipata kutoka Ofisi ya Mpiga chapa Mkuu wa Serikali
Habari me nilibadili jina langu tarehe 20/08/2024 mpaaka sasa tarifa hazijabadilika sasa nauliza ki muda gani zinachukua taarifa kibadalika kweny mfumo
Haichukui muda mrefu taarifa kubadilika. Tafadhali fuatilia Ofisi ya NIDA wilaya iliyo karibu na wewe kufahamu status
habari, smaahani mimi niliandika barua ya kuomba kubadilishiwa mwaka wa kuzaliwa lakini hasi leo sijapata feedback na niliattach cheti chakuzaliwa,leaving ceetificate je nifanyaje?? tangu january niliandikaga barua na mwezi wa 3 nikafuatilia ofisin nida wa kasema hawajapewa feedback yoyote na wao toka makao makuu naomba msaada tafadhali