Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inakutakia Heri katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Mteja yenye kauli mbiu “Furahia Huduma”.

Comments on “Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inakutakia Heri katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Mteja yenye kauli mbiu “Furahia Huduma”.”

  1. Hussein Salum Hamisi says:

    Naitaji kujua kama kitambulisho changu cha Taifa kama kimeisha chapishwa

    1. Geofrey Tengeneza says:

      Salaam Ndg. Tafadhali unashauriwa kufika Ofisi ya Serikali ya Mtaa/Kijiji/Sheia/NIDA ulikosajiliwa au piga simu kwenye Kituo cha Huduma kwa Mteja 0752 000 058, 0687 088 888, 0777 740 006 au 0677 146 666 kufahamu iwapo Kitambulisho chako kimechapishwa na kilipopelekwa kwa ajili ya kukichukua.

      Mwombaji wa Utambulisho wa Taifa (NID) ambaye bado kupatiwa Kitambulisho cha Taifa, unatakiwa kusubiri na kufanya ufuatiliaji baada ya muda kidogo kupita. Iwapo unahitaji NID kwa haraka, wasilisha ombi na vielelezo vya kuthibitisha uharaka ulionao kwa Afisa Usajili kwa hatua zaidi.

      Shukrani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu