Serikali Yakabidhi Magari kwa Jeshi la Magereza


SERIKALI YAKABIDHI MAGARI KWA JESHI LA MAGEREZA LIKIWEMO AMBULANCE KWA AJILI YA HUDUMA ZA AFYA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Ally Senga Gugu leo amezindua na kukabidhi jumla ya magari 11 huku gari moja likiwa ni Gari la Kubebea Wagonjwa ambapo pia gari hilo litataoa huduma kwa wafungwa na mahabusu katika gereza la Ukonga na Magereza ya karibu
Katibu Mkuu amezindua na kukabidhi magari hayo leo Makao Makuu ya Jeshi la Magereza Msalato jijini Dodoma huku akiwasihi vyombo hivyo vikaongeze ufanisi katika shughuli mbalimbali za magereza na urakibu.

Magari hayo yana gharama ya Shilingi Za Kitanzania Bilioni 2.25.



Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu