Taarifa kwa Umma

Comments on “Taarifa kwa Umma”

  1. Abdul-halim Hafidh says:

    habari ,naomba kuuliza hili tangazo ni official,ama vp ? naliweka chini ili lionekane
    NIDA

    Kama wewe au mtu hajachukua kitambulisho cha NIDA abofye hapa kisha achague MKOA na WILAYA na KATA na Mtaa/Kijiji chake na ataona kitambulisho kilipo sasa na hivyo akachukue wapi

    Bofya hapa https://vitambulisho.nida.go.tz/

    Sambaza pia

    1. Geofrey Tengeneza says:

      Salaam Ndg.
      Tangazo hilo ni lina ukweli.

      KUFAHAMU IWAPO KITAMBULISHO CHA TAIFA KIMESHAZALISHWA

      Tafadhali unashauriwa kufika Ofisi ya NIDA ulikosajiliwa au piga simu kwenye Kituo cha Huduma kwa Mteja siku na saa za kazi Na: 0752 000 058, 0687 088 888, 0777 740 006 au 0677 146 666 kufahamu iwapo Kitambulisho chako kimechapishwa na kilipopelekwa kwa ajili ya kukichukua.

      Ingia kwenye Tovuti ya nida (www.nida.go.tz), fungua neno kitambulisho cha taifa kwenye menyu kuu kisha chagua fahamu Kitambulisho Kilipo, chagua mkoa, wilaya, kata na serikali ya mtaa ulikosajiliwa kasha angalia jina lako kwenye orodha au fungua link – https://vitambulisho.nida.go.tz/ au andika vitambulisho.nida.go.tz
      Shukrani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu