Usajili wananchi vitambulisho vya Taifa kukamilika nchi nzima Desemba 31 mwaka huu


Serikali imekusudia kukamilisha Usajili Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi wote kufikia Desemba 31 mwaka huu. Akuzungumza na vyombo vya habari leo, msemaji wa Mamlaka ya Vitambulisho Bi. Rose Mdami, Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Hifadhi Hati amesema NIDA imepanga kutumia taarifa za NEC kukamilimisha usajili wa awali na kutoa namba ya Utambulisho kwa…

More

Kuanza kwa malipo ya waliokuwa watumishi wa masharti ya mkataba.


Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), inawatangazia waliokuwa watumishi wa masharti ya mkataba ambao mikataba yao ilisitishwa tangu tarehe 07 Machi 20L6, kwamba ofisi itaanza kufanya malipo ya madai yao kuanzia Jumatano tarehe 15 hadi Ijumaa 17 Juni 20L6. Aiona maiipo yatafanyika kuanzia saa 3:00 asubuhi kwenye ofisi za NIDA jengo la BMTL na ofisi…

More

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi atembelea ofisi za NIDA


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Jaji Meja Jenerali Projest Rwegasira ametembelea Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Mamlaka Katika ziara hiyo ameweza kutembelea kituo cha Uchakataji Taarifa kilichopo Jengo la COPY-CAT zamani BMTL na kushuhudia kazi zinazofanywa na watumishi wa NIDA ambapo ni uchakataji…

More

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu