ID4Africa Linking the SIM to the NIN: lessons learned best practices…

ID4Africa @ID4Africa. Linking the SIM to the NIN: lessons learned, best practices… Find out how it’s done by those who did it right @aliyuaziz @nimc_ng Edson Guyai @NIDA_Tanzania @LindaRiwa @VodacomTanzania @shoyins @MTNNG Watch LIVE: http://youtube.com/watch?v=XQHVZBGtoPI

Watch LIVE: http://youtube.com/watch?v=XQHVZBGtoPI

Comments on “ID4Africa Linking the SIM to the NIN: lessons learned best practices…”

  1. Enoshi Elias Emanuel says:

    Kuna shida kwenye Taarifa zangu za nida nilikiwa najisajiri BRELA na TRA lakini taarifa zilipoload naona jinsia inakuja female wakati mimi ni mwanaume naomba msaada nini nifanye?

  2. ELIAMIN GRAYSON MBUJI says:

    Tangu nimejisajili yapata mwezi sasa sijapata namba ya nida, nilikuwa na shida ya namba ya nida tu.

    1. Geofrey Tengeneza says:

      Salaam Ndg,

      Kufahamu iwapo NIN imeshazalishwa

      Ingia kwenye uwanja wa kutuma ujumbe mfupi wa maneno (sms), kwenye simu yoyote ya kiganjani kisha andika jina lako la 1*jina la mwisho*tarehe mwezi mwaka wa kuzaliwa*jina la 1 la mama*jina la mwisho la mama kama ulivyojaza kwenye fomu ya Usajili ya nida, kisha tuma kwenda na. 15096,
      Mfano wa sms: Juma*Alli*02051995*Mariamu*Mwakabile (hakikisha unajaza taarifa kwa usahihi la haitoleta majibu)

      Tafadhali piga simu kwenye Kituo cha Huduma kwa Mteja na: 0752 000 058, 0687 088 888, 0777 740 006, 0677 146 666,

      Ingia kwenye tovuti ya NIDA (www.nida.go.tz), fungua neno Kitambulisho cha Taifa kwenye menyu kuu kisha fuata maelekezo au fungua link -https://services.nida.go.tz/nidportal/get nin.aspx au

      Fika kwenye Ofisi ya Usajili ya Wilaya iliyo karibu nawe.

      Shukran.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu