TAARIFA KWA UMMA: Namba za Simu za Huduma kwa Mteja
Comments on “TAARIFA KWA UMMA: Namba za Simu za Huduma kwa Mteja”
Leave a Reply
Taarifa Kwa Umma
18 November
2024
2024
16 November
2024
2024
6 November
2024
2024
Nimesahau nilipoweka namba yangu ya nida je nitaipataje kwa njia ya simu
Salaam Ndg,
Kufahamu iwapo NIN imeshazalishwa
Tafadhali piga simu kwenye Kituo cha Huduma kwa Mteja Na:- 0752 000 058, 0687 088 888, 0777 740 006 au 0677 146 666,
Ingia kwenye tovuti ya NIDA (www.nida.go.tz), fungua neno Kitambulisho cha Taifa kwenye menyu kuu kisha fuata maelekezo au fungua kiunganishi (link) -https://services.nida.go.tz/nidportal/get nin.aspx au
Fika kwenye Ofisi ya Usajili ya NIDA katika Wilaya iliyo karibu nawe.
Shukrani.
Sijapata number yang ya nida toka 2018 namba ya sim 0621247968
Salaam Ndg,
Kufahamu iwapo NIN imeshazalishwa
Ingia kwenye uwanja wa kutuma ujumbe mfupi wa maneno (sms), kwenye simu yoyote ya kiganjani kisha andika jina lako la 1*jina la mwisho*tarehe mwezi mwaka wa kuzaliwa*jina la 1 la mama*jina la mwisho la mama kama ulivyojaza kwenye fomu ya Usajili ya nida, kisha tuma kwenda na. 15096,
Mfano wa sms: Juma*Alli*02051995*Mariamu*Mwakabile (hakikisha unajaza taarifa kwa usahihi la haitoleta majibu)
Tafadhali piga simu kwenye Kituo cha Huduma kwa Mteja na: 0752 000 058, 0687 088 888, 0777 740 006, 0677 146 666,
Ingia kwenye tovuti ya NIDA (www.nida.go.tz), fungua neno Kitambulisho cha Taifa kwenye menyu kuu kisha fuata maelekezo au fungua link -https://services.nida.go.tz/nidportal/get nin.aspx au
Fika kwenye Ofisi ya Usajili ya Wilaya iliyo karibu nawe.
Shukran.

Ninashida ya copy ya kitambulisho cha taifa
Salaam Ndg. fika Ofisi ya Serikali ya Mtaa/Kijiji/Sheia/NIDA ulikosajiliwa au piga simu kwenye Kituo cha Huduma kwa Mteja 0752 000 058, 0687 088 888, 0777 740 006 au 0677 146 666 kufahamu iwapo Kitambulisho chako kimechapishwa na kilipopelekwa kwa ajili ya kukichukua.
Salaam Ndugu, hakuna huduma ya durufu ya Kitambulisho, Mwombaji wa Utambulisho wa Taifa (NID) ambaye bado kupatiwa Kitambulisho cha Taifa, unatakiwa kusubiri na kufanya ufuatiliaji baada ya muda kidogo kupita. Iwapo unahitaji NID haraka, wasilisha ombi na vielelezo vya kuthibitisha uharaka ulionao kwa Afisa Usajili kwa hatua zaidi.
Shukrani.
Namba niliyoandija kwenyefomu ya nida nimepotelewa na simu sasa sijui nitaipataje
Tafadhali fika kwenye ofisi ya Usajili kwa msaada zaidi
Maana Simu imepotea na ilikuwa na namba niliyoandika kwenye fomu ya NIDA je nitapataje namba yangu ya NIDA
Salaam Ndg,
Kufahamu iwapo NIN imeshazalishwa
Ingia kwenye uwanja wa kutuma ujumbe mfupi wa maneno (sms), kwenye simu yoyote ya kiganjani kisha andika jina lako la 1*jina la mwisho*tarehe mwezi mwaka wa kuzaliwa*jina la 1 la mama*jina la mwisho la mama kama ulivyojaza kwenye fomu ya Usajili ya nida, kisha tuma kwenda na. 15096,
Mfano wa sms: Juma*Alli*02051995*Mariamu*Mwakabile (hakikisha unajaza taarifa kwa usahihi la haitoleta majibu)
Tafadhali piga simu kwenye Kituo cha Huduma kwa Mteja na: 0752 000 058, 0687 088 888, 0777 740 006, 0677 146 666,
Ingia kwenye tovuti ya NIDA (www.nida.go.tz), fungua neno Kitambulisho cha Taifa kwenye menyu kuu kisha fuata maelekezo au fungua link -https://services.nida.go.tz/nidportal/get nin.aspx au
Fika kwenye Ofisi ya Usajili ya Wilaya iliyo karibu nawe.
Shukran.
Jina langu la mwisho lilikosewa kwenye kitambulisho nafanyaje ili lisahihishwe
Salaam Ndg.
Maaboresho ya Jina
Ili ombi lako lifanyiwe kazi juu ya maboresho ya jina, unapaswa kuwasilisha nyaraka zifuatazo kwenye ofisi ya Usajili ya NIDA:-
i. Kadi ya kliniki, tangazo, cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la vii, kidato cha iv ama ‘leaving Certificate’
ii. Kiapo ‘Deedpoll’ kilichotolewa na Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi.
iii. Tangazo la gazeti la serikali lenye taarifa ya mabadiliko husika,
iv. Iwapo utaombwa nyaraka nyingine na Afisa Usajili ya kuthibitisha umri utatakiwa kutoa ushirikiano,
v. Mabadiliko yoyote ambayo hayana ushahidi wa nyaraka sahihi na zote zilizo orodheshwa hayatapokelewa wala kuruhusiwa kufanyiwa kazi.
Iwapo makosa yamefanyika upande wetu, Afisa Usajili atajiridhisha na kuendelea na maboresho pasipo kulazimika kulipia gharama yoyote lah utapaswa kulipia shilingi 20,000/=
Muhimu:- ili Afisa Usajili aweze kubadilisha jina la tatu la mteja ni mpaka kibali maalumu kitolewe na kamati maalumu inayosimamia utekelezaji wa huduma ya mabadiliko ya taarifa. Shukrani.
Naomba kujua namba yanga nida
Salaam Ndg,
Kufahamu iwapo NIN imeshazalishwa
Ingia kwenye uwanja wa kutuma ujumbe mfupi wa maneno (sms), kwenye simu yoyote ya kiganjani kisha andika jina lako la kwanza*jina la mwisho*tarehe mwezi mwaka wa kuzaliwa*jina la kwanza la mama*jina la mwisho la mama kama ulivyojaza kwenye fomu ya Usajili ya NIDA, kisha tuma kwenda Na. 15096.
Mfano wa sms:- Juma*Alli*02051995*Mariamu*Mwakabile (hakikisha unajaza taarifa kwa usahihi la hutopata jibu),
Tafadhali piga simu kwenye Kituo cha Huduma kwa Mteja Na:- 0752 000 058, 0687 088 888, 0777 740 006 au 0677 146 666,
Unaweza kutuma ombi lako https://demo.emalalamiko.egatest.go.tz/complaint ili kuangaliziwa moja kwa moja kwenye mfumo wa Usajili na Utambuzi wa Watu,
Ingia kwenye tovuti ya NIDA (www.nida.go.tz), fungua neno Kitambulisho cha Taifa kwenye menyu kuu kisha fuata maelekezo au fungua kiunganishi (link) -https://services.nida.go.tz/nidportal/get nin.aspx au
Fika kwenye Ofisi ya Usajili ya NIDA katika Wilaya iliyo karibu nawe.
Shukrani.
James milanzi sisi ni wanakikundi cha ujasiliamali tumesajili kikundindi kwa mtandao kupitia nida lakini username tumepoteza na tukijaribu kusajili upya nida zinakataa mnatusaidiaje?
Salaam Ndg. Tafadhali mnashauriwa kutuma Omi lenu rasmi likiwa na barua RASMI na muambatishe orodha ya Majina MATATU ya Wana kikundi na Namba zao za NIDA -NIN na mueleze jina la kundi lenu n.k. Tuma info@nida.go.tz. Shukrani.
Jina langu kwenye namba ya nida limekosewa badala ya Jemima limeandikwa Jamila namba ya nida ni 20000428232260000117 namba ya simu 0620744004
Salaam Ndg. Tafadhali fika kwenye ofisi ya Usajili kwa msaada zaidi. Huduma ya kuboresha taarifa za mwombaji hufanyika ofisini na si kwa njia ya mtandao kwani mteja anahitajika kwa mahojiano zaidi na uhakiki wa nyaraka kujiridhisha juu ya ombi hilo.
Muhimu:- ombi la mteja linaweza kuafikiwa ama lah kutegemea na sababu na nia ya mteja kutaka kufanya maboresho ya taarifa zake,
Kabla ya kufanya malipo ya huduma na utekelezaji wa hatua yoyote, unashauriwa kufika ofisini kwanza kupatiwa kibali cha kuendelea na malipo.
Shukrani.
Kutoka mwezi wa 5 mwaka huu mbona sipati namba ya nida kwanini? Halafu mnatoa sababu njoo wiki ijayo nikija hamna tena kwanini mpaka mwaka unaisha sijapata namba.Kwahiyo hili tatizo lipo nida zote au
Salaam Ndg,
Kufahamu iwapo NIN imeshazalishwa
Tafadhali piga simu kwenye Kituo cha Huduma kwa Mteja Na:- 0752 000 058, 0687 088 888, 0777 740 006 au 0677 146 666,
Ingia kwenye tovuti ya NIDA (www.nida.go.tz), fungua neno Kitambulisho cha Taifa kwenye menyu kuu kisha fuata maelekezo au fungua kiunganishi (link) -https://services.nida.go.tz/nidportal/get nin.aspx au
Fika kwenye Ofisi ya Usajili ya NIDA katika Wilaya iliyo karibu nawe.
Shukrani.
Nisikiu ngapi zinachukua upate namba yako ya nida
Namba ya Utambulisho wa Taifa huzalishwa ndani ya wiki hadi wiki mbili na muda usio zidi mwezi tangu mwombaji anapokamilisha Usajili iwapo maombi ya mwombaji wa Utambulisho wa Taifa yamekidhi vigezo. Shukrani.
Habari, naomba kuuliza jinni ya kuregebisha taarifa za mwaka wa kuzaliwa kwenye nida ni upi??? maana mimi nilikosea mwaka wa kuzaliwa hivyo nahitaji kufanya marekebisho ya mwaka wa kuzaliwa ili namba yangu ya nida iendane taarifa za mwaka wa kuzaliwa na vyeti vyangu vingine vya kitaaluma.
Salaam Ndg. Tafadhali fika kwenye ofisi ya Usajili kwa msaada zaidi. Huduma ya kuboresha taarifa za mwombaji hufanyika ofisini na si kwa njia ya mtandao kwani mteja anahitajika kwa mahojiano zaidi na uhakiki wa nyaraka kujiridhisha juu ya ombi hilo.
Muhimu:- ombi la mteja linaweza kuafikiwa ama lah kutegemea na sababu na nia ya mteja kutaka kufanya maboresho ya taarifa zake,
Kabla ya kufanya malipo ya huduma na utekelezaji wa hatua yoyote, unashauriwa kufika ofisini kwanza kupatiwa kibali cha kuendelea na malipo.
Shukrani.
Inachukua muda gani kwa mtu aliyepoteza kitambulisho kutengenezewa kingine baada ya kulipia Tshs.20,000/=
Salaam Ndg. Walau ndani ya mwezi Hadi miezi mitatu kitegemea na wingi ama uchache wa maombi yaliyotangukia awali.
Mimi naitwa eldadi naomba kufahamu ikiwa nimeomba kubadirisha taarifa zangu mafanikio ya ombi Hilo hufanikiwa kwa muda gani mpka kupata namba ya nida
Salaam Ndg.
Walau ndani ya mwezi na muda usiozidi miei mitatu lah kuwe na maombi mengi yaliyowasilishwa wakti mmoja.
Shukrani.
Nimeshapata namba ya nida lakini nilikosea kujaza majina na tarehe je? Maombi yakubadilisha taarifa hukamilika kwa muda gani mpaka taarifa hizo kubadirishwa na kuwa kamili kabisa? Naomba msaada wenu
Maaboresho ya taarifa
Ili ombi lako lifanyiwe kazi juu ya maboresho husika, unapaswa kuwasilisha nyaraka zifuatazo kwenye ofisi ya Usajili ya NIDA:-
i. Kadi ya kliniki, tangazo, cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la vii, kidato cha iv ama ‘leaving Certificate’
ii. Kiapo ‘Deedpoll’ kilichotolewa na Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi.
iii. Tangazo la gazeti la serikali lenye taarifa ya mabadiliko husika,
iv. Iwapo utaombwa nyaraka nyingine na Afisa Usajili ya kuthibitisha umri utatakiwa kutoa ushirikiano,
v. Mabadiliko yoyote ambayo hayana ushahidi wa nyaraka sahihi na zote zilizo orodheshwa hayatapokelewa wala kuruhusiwa kufanyiwa kazi.
Iwapo makosa yamefanyika upande wetu, Afisa Usajili atajiridhisha na kuendelea na maboresho pasipo kulazimika kulipia gharama yoyote lah utapaswa kulipia shilingi 20,000/=
Muhimu:- ombi la mteja linaweza kuafikiwa ama lah kutegemea na sababu na nia ya mteja kutaka kufanya maboresho ya taarifa zake,
Msaada naitaji kubadilisha mwaka kwenye kitambulisho umetofautiana na cheti cha kuzaliwa
Salaam Ndg.
Maaboresho ya Mwaka wa kuzaliwa:-
Ili ombi lako lifanyiwe kazi juu ya maboresho ya mwaka wa kuzaliwa unapaswa kuwasilisha nyaraka zifuatazo kwenye ofisi ya Usajili ya NIDA:-
Kadi ya kliniki, tangazo, cheti cha kuzaliwa, kilichotafutwa na wazazi awali,
cheti cha darasa la saba, kidato cha iv ama ‘ leaving Certificate
Iwapo utaombwa nyaraka nyingine na Afisa Usajili ya kuthibitisha umri utatakiwa kutoa ushirikiano,
Mabadiliko yoyote ambayo hayana ushahidi wa nyaraka sahihi zilizo orodheshwa hayatapokelewa wala kuruhusiwa kufanyiwa kazi na Afisa Usajili wilaya.
iwapo itaonekana kukidhi vigezo baada ya kuwasilisha nyaraka hitajika kwa Afisa Usajili, utapatiwa namba ya malipo ya serikali (Controll Number) na utapaswa kulipia shilingi 20,000/= ikiwa ni gharama kwa ajili ya kufanya maboresho hayo.
Sijapata kitambulisho cha nida
Nimesajili mwaka 2021.nikienda kwa mtendaji kitambulisho hakipo
Hakiki mahali kitambulisho kilipo kwa kufungua link hii: https://vitambulisho.nida.go.tz kisha fuata maelezo
Hello nimetuma maombi ya kitambulisho yapata mwezi sasa sijapata namba ya nida na nahitaji kwaajili ya loan board
Tafadhali fungua link https://services.nida.go.tz kisha chagua fahamu NIN na kufuata maelekezo kujua namba yako
Namba yenu 0800758888 haipatikani kivipi sasa..!?
Piga simu namba 0232210500 eleza shida yako utahudumiwa