Usajili Vitambulisho vya Taifa karatu watia fora, zaidi ya wananchi 1200 kusajiliwa kwa siku

Si kwa idadi hii ya watu iliyofurika katika Wilaya ya Karatu Kata ya Rhotia ambako Usajili wa Wananchi Vitambulisho vya Taifa unaendelea.

Kwa mujibu wa Afisa Usajili Wilaya ya Karatu Bi. Rehema Ngomuo takribani wananchi 1200 wamekuwa wakisajiliwa kwa siku na wengine kushindwa kuwasajili na kulazimika kurejea makwao tayari kwa siku inayofuata bila manung’uniko wala ulalamishi; kutokana na umati mkubwa wa wananchi kufurika kwenye vituo vya Usajili kupata huduma hiyo.

Diwani wa Kata hiyo Bwana Marseli Roli (CCM) ambaye muda wote amekuwepo kituoni hapo kuhakikisha wananchi wake wote wanasajiliwa kwa kuzingatia utaratibu uliopangwa amesema imekuwa ni kawaida ya wananchi katika Kata yake kuitikia wito haraka haswa katika masuala ambayo yana manufaa ya moja kwa moja na maisha yao ya kila siku.

“ Hili suala la Vitambulisho ni suala muhimu na kila mmoja anatambua umuhimu wake na ndiyo maana hatukupata shida ya kuwahamasisha wananchi kufika kusajiliwa kwa kuwa kila mmoja anatambua thamani ya kuwa nacho. Wengine hapa kama unavyowaona wamefika tangu saa 11 alfajiri” alisema

Kwa Wilaya ya Karatu Kata ambazo zinashiriki zoezi hili kwa sasa ni Kata ya Rhotia ambayo baada ya siku saba itafuatiwa na Kata za Janakona na Karatu. Wilaya zingine za mkoa wa Arusha zinaendelea na Usajili zikiwemo Arusha, Arumeru, Longido na Loliondo huku Ngorongoro wakiwa tayari kuanza Jumamosi hii.

 

Umati  wa Watu uliofurika kupata huduma ya Usajili Vitambulisho vya Taifa wakati zoezi hilo likiendelea katika Kata ya Rhotia. Hawa ni akinamama wajawazito na wenye watoto wachanga wakipatiwa huduma maalumu kwa utaratibu maalumu uliowekwa wa kusaidia wazee, wajawazito na wamama wenye watoto wachanga.

 

Afisa Usajili Wilaya ya Karatu Bwana STEVE MBALA akiendelea na taratibu za kuthibitisha uraia wa waombaji na kugonga muhuri wakati zoezi hili likiendelea. utaratibu huu umekuwa ukifanyika kabla ya mwananchi kuruhusiwa kupiga picha, kuchukuliwa alama za vidole na saini ya kielektroniki.

 

Foleni hii ni ya Watendaji Kata na Wenyeviti katika Vijiji vya Kata ya Rhotia wakithibitisha makazi ya kila mwananchi anayeishi katika Kata na Kijiji chake kabla ya kutoa idhini ya kuthibitishwa uraia.

 

Kushoto ni baadhi wa wazee ambao wanasubiri kuitwa kupata huduma ya Usajili baada ya umri wao kutoruhusu kukaa foleni muda mrefu kupata huduma ya Usajili. Utaratibu huo umetoa fursa kwa wazee wengi kupata huduma kwa haraka na kuwahi kuendelea na mapumziko na hivyo kuongeza idadi ya wazee wenye umri mkubwa kufika kusajiliwa.

 

Hawa ni baadhi tu ya wananchi walioweza kunaswa na kamera yetu wakiwa kwenye foleni ya kusajiliwa Vitambulisho vya Taifa wakitokea Kata ya Rhotia Wilaya ya Karatu – Arusha

Comments on “Usajili Vitambulisho vya Taifa karatu watia fora, zaidi ya wananchi 1200 kusajiliwa kwa siku”

  1. Online Kauf says:
    Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    The best pharmacy shop on the Web. Random drug from interven, The alliances and their extensions.

    https://tablettenohnerezept.space/propecia/

    Online Apotheke Cialis Paypal, Frequently Asked Questions, IJVL.

  2. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Leather bag with adjustable handles and tassels.

    https://drogekaufen.space/gynpolar/

    Kanada, probe deutschland.

  3. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Generika Viagra Online Apotheke, Official Online Drugstore.

    https://drogekaufen.space/basocin/

    Deutsche Online Apotheke Cialis.

  4. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Drugs online, buy and save money, Online Apotheke Viagra Generika.

    https://pillerezeptfrei.space/clonidine/

    Versandapotheke: Versandkostenfrei viele Zahlungsarten bis zu 50.

  5. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Test Online Apotheke Viagra, NO Prescription, Urban Attitude.

    https://pillerezeptfrei.space/remeron/

    Online Apotheke Cialis Paypal, Frequently Asked Questions, IJVL.

  6. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Sildenafil dose in renal failure svenska online 10 schmelztabletten vardenafil.

    https://tablettenohnerezept.space/aggrenox/

    Finpecia.

  7. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Discount Drug Mart, Online Apotheke Clomid, Lashes N Lace. I have given this subject a great deal thought in effort understand just why men.

    https://tablettenohnerezept.space/enalapril/

    Licensed and Generic. Pharmacy.

  8. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Free Worldwide Shipping.

    https://pillekaufen.space/rispe-q/

    Improvements of places have used significantly. Versand aus deutschland, billig kaufen Rabatt.

  9. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Je hebt nog geen artikelen om te vergelijken.

    https://drogekaufen.space/crotamiton/

    Viagra In Online Apotheke, Canadian Pharmacy, BEST OFFERS.

  10. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Reliable drugstore.

    https://drogekaufen.space/urosin/

    Generika schweiz Kosten cialis sildenafil kauf generische Probe, billige, online.

  11. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Preise 100mg Auftrag ohne Verordnung, Kanada Apotheke online versand pfizer. Online deutschland, sildenafil kaufen Marke ohne Verordnung apotheke.

    https://tablettenohnerezept.space/singulair/

    View the eight. Cialis 5mg Online Apotheke, Take It For Better Sex Drive, Gochi.

  12. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Preise cialis online С†sterreich, versand deutschland, apotheke sildenafil generika.

    https://pillerezeptfrei.space/ranitic/

    Effective orally administered drug for treating erectile dysfunction, more. Online Apotheke Viagra Test.

  13. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Stoffen 24, Divina melange viltstof. See.

    https://pillerezeptfrei.space/vivinox-sleep/

    Online Apotheke Cialis, Boost Libido: Increase Sexual Desire.

  14. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Pfeiffersche Stiftungen, Online apotheke viagra ohne rezept, online.

    https://pillekaufen.space/mirtabene/

    Sildenafil 100mg billig keine Verordnung pfizer preis, generika kaufen.

  15. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    online rezept, Auftrag billig kaufen apotheke 25mg, preis generisches. Online Canadian Drug Store, Generika Viagra Online Apotheke.

    https://drogekaufen.space/spersadex/

    Generisches MasterCard 5mg, kosten apotheke lieferung aus С†sterreich online. Search Over 500 medications.

  16. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Anonymity.

    https://drogekaufen.space/finasteride/

    Sildenafil 100mg. 24h online support.

  17. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Eine der Besten Apotheken, Sie bis zu 70% als in Ihrer. Canadian Pharmacy Prescription, Viagra Generika Online Apotheke.

    https://pillerezeptfrei.space/difluzol/

    Pill received an overall rating of 7 out of 10 stars from 82 reviews, Online Drug.

  18. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    We are a discount online pharmacy that offers Cialis and other ED pills.

    https://drogekaufen.space/aquapred/

    Preisvergleich sildenafil pfizer sandwich wie lange kann mit apotheke levitra, wo.

  19. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Viagra Online Apotheke Forum. Sexual particular health, man of viagra to limited challenges is online apotheke.

    https://pillerezeptfrei.space/hemangiol/

    Deutsche Online Apotheke Cialis Eliminate Refractory Period.

  20. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Difference and Comparison Generika Viagra Online Apotheke.

    https://drogekaufen.space/chloroquin/

    Online Prescriptions Discount Drugs, Deutsche Online Apotheke. Viagra Generika Online Apotheke.

  21. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Viagra Generika Online Apotheke.

    https://drogekaufen.space/diaphal/

    Geneesmiddelen voor veel voorkomende aandoeningen. Viagra 25 mg, generika viagra, Bdcentral On-line Apotheke, Billige.

  22. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Test Online.

    https://tablettenohnerezept.space/ambrodoxy/

    Tadalafil Online Apotheke, High Quality Medications. Cialis 5mg Online Apotheke, No prescription needed.

  23. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Generika.

    https://drogekaufen.space/prostacure/

    Generika.

  24. Kauf Online says:
    Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Levitra preiswert bestellen, levitra generika preis, Al-idrisi On-line.

    https://drogekaufen.space/aknefug/

    Zu Risiken und Nebenwirkungen lesen Sie die Packungsbeilage und fragen Sie. See what others have said including the effectiveness, ease of use and side.

  25. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Causes, symptoms and treatment of erectile dysfunction ED, Cialis Viagra.

    https://tablettenohnerezept.space/baktocillin/

    Aus deutschland 10mg Preis. Meds.

  26. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Free Shipping applied.

    https://pillerezeptfrei.space/atozet/

    From 82 reviews. Online Canadian Drug Store, Generika Viagra Online Apotheke.

  27. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Cialis tschechien kaufen. Gaur Yamuna city location prescription treatment which inhibits prescribing.

    https://drogekaufen.space/alofin/

    Doctors, who explain how best to take drug, Online Apotheke Schweiz Viagra.

  28. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Online Apotheke Cialis Generika. Official Online Drugstore.

    https://pillekaufen.space/felden/

    My Pharmacy Online, Sichere Online Apotheke Cialis.

  29. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Kamagra oral jelly online apotheke buy aspirin online over the counter kamagra. Cialis tschechien kaufen.

    https://pillekaufen.space/zanipril/

    Lowest Prices and Satisfaction Guaranteed.

  30. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Get It Up Keep It Up, Online Apotheke Viagra Test, Hit it Drums.

    https://pillerezeptfrei.space/nasonex/

    They are not cultivated on. Generika viagra kaufen С†sterreich tadalafil kosten generische 60mg online.

  31. Kosten Preis says:
    Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Preise cialis online С†sterreich, versand deutschland, apotheke sildenafil generika. Deutsche Online Apotheke Cialis! Great Discounts.

    https://tablettenohnerezept.space/isoxsuprine/

    The capital city is. Canadian Pharmacy NO Prescription, Online Apotheke Cialis.

  32. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Viagra im Web kaufen, Pfizer viagra billig, Maseno On-line.

    https://drogekaufen.space/estronorm/

    Levitra generika, Apotheke levitra, Drgw On-line Apotheke, Beste.

  33. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Schweiz, sildenafil deutschland kaufen, Verkauf billige apotheke, kosten preis.

    https://pillerezeptfrei.space/domperidon/

    Free Bonus Pills For Every Order, Online Apotheke Holland Cialis.

  34. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Online Apotheke Deutschland, Android Apps on Google Play.

    https://drogekaufen.space/tredalat/

    Generika probe online.

  35. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    The part of herpes has been estimated from 2, kaufen apotheke online viagra 1 to. Viagra Online Apotheke Niederlande.

    https://drogekaufen.space/hista-x/

    These surprising rewards lend the fast unprescribed orders. Canadian Pharmacy Online, Koltec.

  36. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Viagra online bestellen, Rabatt viagra Kanada, Woouf On-line. Viagra In Online Apotheke, Canadian Pharmacy, BEST OFFERS.

    https://tablettenohnerezept.space/felodipine/

    online pharmacy is discount online pharmacy. Billig Verordnung bestellen kaufen 25mg deutschland Rabatt.

    1. Geofrey Tengeneza says:

      Salaam Ndg.

      Karibu kwenye ukurasa wetu wa Tovuti wa NIDA tukuhudumie kwa kukupatia elimu juu ya Usajili na Utambuzi wa Watu ambao matokeo yake ni kutoa Utambulisho wa Taifa (NIN) na hatimaye Kitambulisho cha Taifa kwa raia, wageni na wakimbizi wanaoishi nchini kihalali wenye umri wa miaka 18 na zaidi. Shukrani.

  37. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Cialis online kaufen, tadalafil 5mg preis, Cmv On-line Apotheke. The Kingdom of Cambodia, formerly Kampuchea, is a Southeast Asian nation.

    https://medikamente365.space/bisoprolol-5-mg-preis/

    Disclaimer: Sedo maintains no relationship with third party advertisers.

  38. Your comment is awaiting moderation. This is a preview, your comment will be visible after it has been approved.

    Overnight Delivery.

    https://medikamente365.space/sinequan-75-mg/

    Brand name solutions here: Stop worrying about your ed.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu