Kitengo cha Ununuzi na Ugavi kina idadi ya watumishi watatu.

Majukumu ya Kitengo:

  1. Ununuzi wa vifaa na huduma kwenye Idara na Vitengo vyote vya Mamlaka.
  2. Utunzaji na Ugavi wa vifaa vya Mamlaka.
  3. Kutoa ushauri kuhusiana na masuala yote yanayohusu ununuzi kwa Mamlaka.

Mafanikio:

  1. Kitengo kumeweza kusimamia vizuri taratibu za ununuzi na kupewa barua ya pongezi kutoka Mamlaka ya
  2. Usimamizi wa Ununuzi nchini (PPRA)
  3. Kitengo kinaendelea na msisitizo wa kufuata kanuni na taratibu wa ununuzi wa umma kwa watumishi wa Mamlaka ambao kwa kiasi kikubwa umeonyesha mafanikio.