Dira

Kuwa chombo chenye wajibu wa kutoa huduma za utambuzi ambazo zinatambulika kitaifa na kimataifa.

Dhima

Kutoa Vitambulisho kwa Watanzania na Wageni Wakaazi wa Tanzania na kutunza Daftari la Utambuzi kwa lengo la Kuimarisha Usalama na Amani, Kiuchumi na Kijamii kwa Maendeleo ya Taifa.

Maadili yetu

i. Kutoa huduma bora kwa wateja

ii. Kufanya kazi kwa bidii na nidhamu

iii. Kufanya kazi kwa umoja.

iv. Kufanya kazi yenye ubora wa hali ya juu.

v. Kuajiri wafanyakazi wenye weledi na waadilifu.

vi. Kuthamini mchango wa watumishi.