NIDA yazindua Baraza la Wafanyakazi


Kamishna wa kazi Bi. Tulia Msemwa azindua baraza la Wafanyakazi NIDA baada ya ililokuwepo muda wake kufikia ukomo lililofanyika katika ukumbi wa polisi – Officer`s Mess Oyster bay. Bi. Tulia akizindua baraza hilo amewaasa wajumbe kuhakikisha kuwa wanazingatia kutekeleza wajibu wao ipasavyo na kutumia baraza kama chombo cha kujadili maendeleo ya¬† taasisi kwa kuwasilisha hoja…

More

Maadhimisho ya miaka 55 ya Mapinduzi yaenda sambamba na uzinduzi wa Jengo jipya la kisasa la ofisi ya NIDA


Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe Dkt Khalid Salum Mohamed amezindua jengo la ofisi ya Usajili wa Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi wanaoishi Wilaya ya Kati Dunga – Tanzania Zanzibar. Uzinduzi huo ulifanyika na kushirikisha wadau mbalimbali wa ndani na nje ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar zikiwemo Taasisi za Muungano….

More

Mkurugenzi Mkuu NIDA aanza kwa kukagua shughuli za Usajili Kwenye Ofisi za Wilaya; Na Kuzungumza na wananchi


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA) Dkt. Anold Mathias Kihaule, ameenza kazi kwa kukagua utendaji wa ofisi za Usajili za Mkoa wa Dar-es-salaam ambapo pamoja na mambo mengine amezungumza na wananchi na kutembelea ofisi ya Serikali ya Mtaa ambako huduma ya utoaji wa fomu na ugawaji wa Vitambulisho zinaendelea. Katika ziara hiyo Dkt….

More

Fomu za Maombi ya Utambulisho

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu