Moani ya mwandishi kuhusu umuhimu wa mfumo wa utambuzi wa NIDA


Source Jamii Forum Vitambulisho vya Taifa ambavyo ni SMART vitolewavyo na NIDA ni mfumo ambao ningelikuwa namshauri RAIS ningelimuomba alisimamie kwa nguvu zote kwani ungelipunguza nusu ya matatizo yote yaliyopo nchini….kuanzia tax base, Uhalifu, riba za mabenki, gharama za usajili mbalimbali , gharama za takwimu mbalimbali n.k Ukishaipa NIDA jukumu mama la *usajili* wa raia…

More

Wananchi wengi wajitokeza zoezi la usajili na utambuzi wa watu mkoani Mtwara


Zoezi la Usajili Vitambulisho vya Taifa limeendelea mkoani Mtwara, ambapo wananchi wamejitokeza kwa wingi kujisajili, kama wakazi hawa wa Wilaya za Tandahimba na Newala walivyokutwa  wakishiriki kikamilifu kujisajili. Moja ya changamoto kubwa iliyojitokeza ni wakazi wengi hususani maeneo ya vijijini kukosa mashine za photocopy, huku baadhi wakikosa nyaraka muhimu za kuwatambulisha. Changamoto nyingine ni waombaji…

More

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania qkabidhiwa kitambukisho cha Taifa chenye muonekano mpya.


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa  Mh. Mhe. Job Ndugai; leo amekuwa miongoni mwa viongozi waliokabidhiwa Kitambulisho cha Taifa chenye muonekano mpya, baada ya kutembelea eneo ambapo waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamekuwa wakisajiliwa na kugawiwa vitambulisho vya Taifa vyenye muonekano mpya. Akikabidhi…

More

Taarifa Kwa Umma

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu