Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA) yafanya usajili wa vitambulisho vya Taifa kwa Waheshimiwa wa Wabunge


Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA), imeanza kusajili Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; wakati wakiendelea na kikao cha Bajeti Katika Usajili huo NIDA inategemea kusajili wabunge wote ambao hawakuwahi kusajiliwa awali na kupata vitambulisho vya Taifa, pamoja na kugawa vitambulisho Wabunge wameonyesha mwamko mkubwa katika kutumia fursa hii adhimu, kwa kuhakikisha…

More

Kongamano la wadau kutoka sekta mbalimbali wakijadili kuhusu mradi wa Vitambulisho vya Taifa


Wadau kutoka Sekta mbalimbali nchini leo wamekutana katika kongamano maalumu kujadili suala la Vitambulisho vya Taifa na uwezekano wa kukamilika kwa mradi huo ili kuwezesha Taifa kuwa na Kanzidata(database) yenye taarifa sahihi zenye kujibu maswali makuu nani ni nani, yuko wapi na anafanya nini. Lengo ni kurahisisha utoaji huduma na kuwezesha wananchi kujishughulisha na masuala…

More

Fomu za Maombi ya Utambulisho

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu