TANGAZO: NIDA imeongeza siku mbili zaidi kuanzia tarehe 09/09/2019 hadi 10/09/2019 za kutoa huduma kwenye uwanja wa Rock City Mall Mwanza


TANGAZO-REDIO-MAONESHO-EA-TRADE-FAIR-MWANZA-29082019-NYONGEZA-SIKU-2

More

NIDA Yashinda Makombe Matatu (3) Kwa Mpigo Maonesho ya Biashara ya Afrika Mashariki ya Mwanza


Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imezidi kungara kwa kupata tuzo 3 za ushindi kwenye Maonesho ya 14 ya Biashara ya Afrika Mashariki (East Africa Trade Fair) yaliyofanyika mkoani Mwanza.  NIDA imeibuka mshindi wa kwanza kati ya taasisi za Serikali na Mwonyeshaji Bora (Best Exhibitor) kati ya washiriki zaidi ya 300 kwenye Maonesho ya Biashara…

More

TANGAZO: Tembelea banda la NIDA ili ufahamu Namba yako ya Utambulisho wa Taifa (NIN) kwenye Maonesho ya 14 ya Biashara ya Mwanza East Africa Trade Fair


Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kuwajulisha wananchi wote kuwa huduma ya kufahamu Namba ya Utambulisho wa Taifa (NIN) na Usajili na Utambuzi wa Watu inatolewa kwenye banda la NIDA namba 77 katika Maonesho ya 14 ya Biashara ya Mwanza East Africa Trade Fair yanayofanyika Rock City Mall, Mwanza kuanzia tarehe 30 Agosti hadi…

More

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu