NIDA watakiwa kuwa waadilifu, wasiri


Na Agnes Gerald, NIDA Watumishi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) wametakiwa kufanya kazi kwa bidii, ushirikiano na kutunza siri. Maelekezo hayo yametolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima alipofungua Baraza la Wafanyakazi Februari 24, 2020 katika ukumbi wa mikutano wa Jeshi la Polisi, Dar es…

More

TAARIFA KWA UMMA: NIDA YASITISHA MATUMIZI YA NAKALA TEPE YA KITAMBULISHO CHA TAIFA (ONLINE ID COPY)


TAARIFA KWA UMMA: Fahamu Namba ya Utambulisho wa Taifa (NIN)