HERI YA SIKUKUU YA WAKULIMA (NANENANE) 2020


BANDA LA NIDA LAVUTIA WANANCHI SIMIYU


Na. Mwandishi wetu Banda la Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) katika maonesho ya Nane Nane yanayofanyika kitaifa mkoani Simiyu limekuwa likitembelewa na wananchi wengi wanaotembelea maonesho hayo kwa lengo la kupata huduma mbalimbali zinazotolewa ikiwemo usajili kwa ajili ya Vitambulisho vya Taifa. Pamoja na usajili huduma nyingine zinazotolewa katika banda la NIDA ambazo zimekuwa…

More

NIDA KUSHIRIKI NANENANE KITAIFA SIMIYU


Na: Agnes Gerald Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), inatarajia kushiriki katika Maadhimisho ya Maonyesho ya 27 ya Sikukuu ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi maarufu, Nanenane Kitaifa yenye kauli mbiu: “Kwa Maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi chagua Viongozi Bora 2020” yaliyopangwa kufanyika Mkoani Simiyu kwenye Viwanja vya Nyakabindi kuanzia tarehe 01/08/2020 hadi tarehe 08/08/2020.  …

More

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu